ACHA UJINGA MARA MOJA.Kwa mfano mmepishana kauli, mkeo akakupandishia sauti hivyo, we ukakasirika, lakini soku zaenda, mkeo haoni kama amekosea na wala haombi msamaha, anakula buyu kama wewe.
Je utajisemesha tu mambo yaendelee kama zaman?
Au utamwambia akuombe msamaha alikukosea?
Au na wewe utakausha tu hadi siku atakapoona yeye amekukosea?
naomba uzoefu wenu.
Una chaguzi mbili tu...Kwa mfano mmepishana kauli, mkeo akakupandishia sauti hivyo, we ukakasirika, lakini soku zaenda, mkeo haoni kama amekosea na wala haombi msamaha, anakula buyu kama wewe.
Je utajisemesha tu mambo yaendelee kama zaman?
Au utamwambia akuombe msamaha alikukosea?
Au na wewe utakausha tu hadi siku atakapoona yeye amekukosea?
naomba uzoefu wenu.
Ha ha haaa nimekumbuka kwenye ule uzi wako ukasema mwanamke akiolewa anathaminiwa na kina nani sijui๐ ๐ ๐ . Kumbe mambo ndani ndo hivi,thamani hiyo vipi mkuu?Mkuu simama kama mwanaume halisi.
Kama haelewe somo Anza Kuja saa5 za usiku au unalala huko kabisa siku nzima na ukirudi huna habar nae
Dawa ya jeuri ni nini kwani?Ha ha haaa nimekumbuka kwenye ule uzi wako ukasema mwanamke akiolewa anathaminiwa na kina nani sijui๐ ๐ ๐ . Kumbe mambo ndani ndo hivi,thamani hiyo vipi mkuu?
Vita ni vita mura
Mpende mkeo nduguDawa ya jeuri ni nini kwani?
Ukitii nawewe utapewa utii wako ukikaidi utapigwa tu