Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Naomba kufahamu hayo magonjwa ya dhinaa ndio yapoje tujiepushe nayoIla bora iwe ivyo ila uko Facebook ni kutafuta magonjwa ya dhinaa na utapel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kufahamu hayo magonjwa ya dhinaa ndio yapoje tujiepushe nayoIla bora iwe ivyo ila uko Facebook ni kutafuta magonjwa ya dhinaa na utapel
Gono, UTI UKIMWI KASWENDE HALALA 🤣🤣Naomba kufahamu hayo magonjwa ya dhinaa ndio yapoje tujiepushe nayo
Lakini vya jirani vyakuhusu niniSio umbea mtu amekuza maandishi mpaka mwisho ukiona utashindwa soma?
Wapi wanatibu HALALA🤣Gono, UTI UKIMWI KASWENDE HALALA 🤣🤣
Mimi ata ukiwa wewe kama umekuza maandishi nasoma vzr japo na jua havinihusuLakini vya jirani vyakuhusu nini
Miye nachat na mkeoWanaume wa Dar mnachoweza ni umbea tuu na kushinda vibarazani na kanga moja.
Wanapitishaga mtaani ujasikiaga? Dawa ya halalaWapi wanatibu HALALA🤣
Watu wanajipa presha za buuuuuremtoto wa kiume punguza umbea.. kuliwa ni popote pale
Hapo ukiitwa mmbea utakataa jamani?Mimi ata ukiwa wewe kama umekuza maandishi nasoma vzr japo na jua havinihusu
Dah jamaa yangu sikupi tena binamu yangu 🤣🤣🤣Miye nachat na mkeo
Shida za kusinzia wakati mwalimu wa kiswahili yuko darasani ndio hizoWanapitishaga mtaani ujasikiaga? Dawa ya halala
Nakataaa kabisa kwani si wewe ndio umenionesha kwa makusudi kuna protector za privacyHapo ukiitwa mmbea utakataa jamani?
Ahahhaah Jan sikulalalaShida za kusinzia wakati mwalimu wa kiswahili yuko darasani ndio hizo
Aaahaaaaa,hata usiponipa mleta mada inabidi aamniwe ukweli,umbeya Kwa mtoto wa kiume haufaiDah jamaa yangu sikupi tena binamu yangu 🤣🤣🤣
Duh 🤔Huku kwetu wanaliwa sana na wanatumia viswaswadu tuu.
Nyie dawa yenu ni kufunguka camera naweka selfie tuangaliane sasa vizuriNakataaa kabisa kwani si wewe ndio umenionesha kwa makusudi kuna protector za privacy
Kwahiyo shem umeamua kunitolea uvivuAaahaaaaa,hata usiponipa mleta mada inabidi aamniwe ukweli,umbeya Kwa mtoto wa kiume haufai
Ahahhahh 🤣🤣 au punguza mwanga wa simuNyie dawa yenu ni kufunguka camera naweka selfie tuangaliane sasa vizuri