Kama mkeo yupo Facebook mchunguze tena kwa umakini

Kama mkeo yupo Facebook mchunguze tena kwa umakini

Macho hayana pazia,nimekubali.

Lakini si kweli, nilikua na mpenzi wangu yeye FACEBOOK anaingiaga kustorika yani hata ukishika simu yake uingie utakutana na page za SIMULIZI na HADITHI tu ndio hizo anasoma.

12hrs yuko online tu,nishaingiwaga na mawazo ya kishetani kama hayo nikaanza mchunguza ila ni kweli nikagundua n simulizi tu.

Kwahyo si wote wako hivyo hata huko makanisani wanaenda na wanaliwa.

kikubwa ktk mapenzi nilichojifunza yeye aliwe anywewe ila tu ahakikishe sijui, BASI kumchunga mwanamke huwezi ukimbana sana anaweza mtunuku hata house boy.

ki ufupi hii jinsia huwezi izuiankwa lolote na chochote hasa wanapokua na hamu zao.

Mwanamke mwenye nyege na Mwanaume mwenye nyege bora mwanaume huwa anabaka anajulikana hamu zilimzidia.

ila Mwanamke habaki anakutunuku tu, yani hata kuku anaweza tunukiwa, dk 5 tu zinamtosha kumtunuku amtakae ukijifanya unajua sana kumkaba kona zote.

Fanya maisha yako acha fatilia wanawake kwa ujumla, focus na namna unamaliza nyege zako zikikudaka. Full stop.
 
Yeah wewe km unaenda kuuchezea mtinyama uko nje nenda kauchezee tu Ila kikubwa heshima sio unaenda kuuchezea mtinyama huko unanogewa huko ukirudi ndani unaanza kuleta dharau hapo lazima nukutifue haiwezekani
Sawasawa ๐Ÿ˜Š๐Ÿค—
 
Back
Top Bottom