Kama Mkutano wa Ndani Unajaa Watu Kiasi Hiki. Vipi Kwa Mkutano wa Nje? CCM ina uwezo wa kujaza hata Uwanja wa Taifa

Nikuwapiga wajinga wakubwa
 
Una mawazo ya kijinga jinga tu wewe.
 
Kunywa hata vidonge tu utulize kichwa
Unajilazimisha tu kujibizana humu. Yaani CCM imechokwa sana mpaka mwenyekiti wake. Nyinyi kitengo cha propaganda ndio mnapiga kelele humu mitandaoni. Mwenye kujiamini na hategemei mtu ili apate Riziki yake hawezi akaunga mkono drama za CCM. Juzi Nchimbi kadanganywa kule Itirima na wewe ukaleta habari za Uzushi humu. Hivi unajisikiaje kuleta propaganda za kijinga kwenye huu utandawazi???
 
CCM inapendwa na kuaminika kwa watanzania.ndio maana ikiitisha mkutano watu wanajaa na kufurika kwa wingi sana mkutanoni.CCM ndio chama kilicho beba Matumaini ya watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…