Kama Mkutano wa Ndani Unajaa Watu Kiasi Hiki. Vipi Kwa Mkutano wa Nje? CCM ina uwezo wa kujaza hata Uwanja wa Taifa

Kama Mkutano wa Ndani Unajaa Watu Kiasi Hiki. Vipi Kwa Mkutano wa Nje? CCM ina uwezo wa kujaza hata Uwanja wa Taifa

Nashangaa sana kitengo cha Propaganda cha CCM kimekosa hoja kabisa. Yaani uchaguzi uwe wa huru na haki wanachapika mapema mnooo. Juzi, jana na leo tumeendeshana sana na harakati za uchaguzi wa serikali za mitaa. Chama dola kinatapatapa huku kikimtumia Afisa Mtendaji wa mtaa asaidie mizengwe. 🤣🤣🤣
Mchezo wa safari hii mtaani kwangu ninao hawa yaani ni jino kwa jino.
Nikuwapiga wajinga wakubwa
 
Duniani kuna mnyiha mwenye akili?Juliana shonza-mnyiha(chadema kwenda ccm),john silinde mnyiha(chadema kwenda ccm)mwampamba yule alimla jokate jpm akakasirika, mnyiha(chadema kwenda ccm).we we mnyiha uko ccm.Tafuta mnyakyusa aliehama chadema kwenda ccm.uwe na adabu
Una mawazo ya kijinga jinga tu wewe.
 
Kunywa hata vidonge tu utulize kichwa
Unajilazimisha tu kujibizana humu. Yaani CCM imechokwa sana mpaka mwenyekiti wake. Nyinyi kitengo cha propaganda ndio mnapiga kelele humu mitandaoni. Mwenye kujiamini na hategemei mtu ili apate Riziki yake hawezi akaunga mkono drama za CCM. Juzi Nchimbi kadanganywa kule Itirima na wewe ukaleta habari za Uzushi humu. Hivi unajisikiaje kuleta propaganda za kijinga kwenye huu utandawazi???
 
CCM inapendwa na kuaminika kwa watanzania.ndio maana ikiitisha mkutano watu wanajaa na kufurika kwa wingi sana mkutanoni.CCM ndio chama kilicho beba Matumaini ya watanzania.
Screenshot_20240928-224331_1.jpg
 
Back
Top Bottom