Kama Mkutano wa Ndani Unajaa Watu Kiasi Hiki. Vipi Kwa Mkutano wa Nje? CCM ina uwezo wa kujaza hata Uwanja wa Taifa

CCM imechokwa mpk na shetani mwenyewe haitaki kabisa
 
Chadema mnaendelea kebehi zenu! Alafu siku ya maandamano anabaki Mbowe na mwanawe mnaanza kulalamikia hao hao!
CHADEMA ni matapeli ya kisiasa.walimuuza Mbowe barabarani yeye na mwanae na mke wake tu.huku wao na Madevu yao wakiwa wamejificha vyumbani kwao.
 
Huu mjadala mtakesha. Jamaa wampe hata utendaji wa kata apumzike sasa
 
CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa kadri ya uhai wake.
Ziko wapi dola zilizokuwa tishio na imara zaidi ulimwenguni...iko wapi dola ya Roma, iko wapi dola ya Persian? Iko wapi nguvu aliyokuwa nayo mjerumani?

Zote zimepotea na kusahaulika hapa ulimwenguni..hivyo hata CCM haitadumu wala kutawala milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…