Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
CCM imechokwa mpk na shetani mwenyewe haitaki kabisaUnajilazimisha tu kujibizana humu. Yaani CCM imechokwa sana mpaka mwenyekiti wake. Nyinyi kitengo cha propaganda ndio mnapiga kelele humu mitandaoni. Mwenye kujiamini na hategemei mtu ili apate Riziki yake hawezi akaunga mkono drama za CCM. Juzi Nchimbi kadanganywa kule Itirima na wewe ukaleta habari za Uzushi humu. Hivi unajisikiaje kuleta propaganda za kijinga kwenye huu utandawazi???