Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #81
Usifananishe CCM na kitu chochote kile.CCM ni kama Damu kwa mwanadamu ambapo mtu hawezi kuishi pasipo Damu.CCM ndio Damu ya Taifa hili na itaendelea kuliongoza kwa kadri ya uhai wake Taifa hili.CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCMZiko wapi dola zilizokuwa tishio na imara zaidi ulimwenguni...iko wapi dola ya Roma, iko wapi dola ya Persian? Iko wapi nguvu aliyokuwa nayo mjerumani?
Zote zimepotea na kusahaulika hapa ulimwenguni..hivyo hata CCM haitadumu wala kutawala milele.
Kodi yenu walalahoi..fedha za kufanya mambo makubwa namna hii wanatoa ktk vyanzo gani?
..je, ni michango ya wanachama, au ni KODI ya kila Mtanzania hata asiye na chama?
Wanabebwa na coster na mafuso huoni wana sare zinazofana kana kwamba walikubaliana.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika CCM ina mamilioni ya wanachama,ina washabiki wa kutosha ,ina wafuasi wengi sana ,ina aminika sana ,ina kubalika sana ,inapokeleka na kupokewa na mamilioni ya watanzania kila ipitapo,ina nafasi katika mioyo ya watanzania. Ukiona mkutano wa ndani tu watu wana jaa na kufurika kiasi hiki ,basi ni lazima ufahamu ya kuwa chama hiki kipo mioyoni mwa watu na kimebeba matumaini yao.
Hawa unaowaona pichani ni Sehemu tu ya maelfu ya wengine ambao wanakuwa wamebakia nje kwa kukosa nafasi ya kukaa ndani. Hata uchukue ukumbi wenye ukubwa wa aina ipi , CCM inauwezo wa kuujaza ndani ya dakika moja na wengine kubakia nje ya ukumbi.CCM ina uwezo wa kuujaza uwanja wa Taifa na ukabakia uking'aa kwa rangi za kijani na njano tu.
Kwa hakika hiki chama ni mpango wa Mungu mwenyewe.huwezi ukashindana nacho hata kidogo.iwe ni jukwaani au katika sanduku la kura.
Nawakumbusheni tu kuwa hapa ni Mkoani Shinyanga wilaya ya KahamaView attachment 3121159View attachment 3121160
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ndipo makada wakajipiga vifua na kububujikwa na machozi ya furahaNdugu zangu Watanzania,

Usifananishe CCM na kitu chochote kile.CCM ni kama Damu kwa mwanadamu ambapo mtu hawezi kuishi pasipo Damu.CCM ndio Damu ya Taifa hili na itaendelea kuliongoza kwa kadri ya uhai wake Taifa hili.CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM
Kwa hiyo unataka wawe na sare tofauti tofauti wakati chama ni kimoja chenye sare za aina moja? Hivi kwanini watu wengine mnakuwa kama hamna akili kiasi hicho?Wanabebwa na coster na mafuso huoni wana sare zinazofana kana kwamba walikubaliana.
Nyumba bwana, huwa wanawaza ujinga ujinga tu muda wote. Sijui mbowe anawachanyia unga wa kinyesi kikavu katika vyakula anavyowalisha huko ufipani?!!!Wafanyakazi wa Halimashauri na Waalimu hao 🤣🤣🤣
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.Tume HURU yq Uchaguzi ndio ingeamua kama mnapendwa ama la. Mnaogopa nini?!
Anayekwenda mkutanoni hapangiwi avae nini ukiona wamevaa sare ujue wamepangwa.Kwa hiyo unataka wawe na sare tofauti tofauti wakati chama ni kimoja chenye sare za aina moja? Hivi kwanini watu wengine mnakuwa kama hamna akili kiasi hicho?
CCM kawaida yetu ni kwenda tumevaa sare zetu mikutanoni na katika matukio yote ya aina hiyo.Anayekwenda mkutanoni hapangiwi avae nini ukiona wamevaa sare ujue wamepangwa.
Wewe nakupuuza tu unaongea kishabiki mbona hiyo tume ya hovyo bado mnaing'ang'ania wakati Dunia nzima inajua kuwa inasimamiwa na Makada wa CCM?!Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
Unaweza vipi walipa watu hawa wote ili wahudhurie mkutanoni? Kwa pesa kiasi gani hicho? Watu wanahudhuria mikutano ya CCM kwa hiyari yao na kwa upendo wao kwa CCM kama unavyoona hapaHakuna mtu mwenye akili timamu anayekwenda kwenye mkutano wa ccm bila malipo.
Wewe usiye jitambua ndiye wa kupuuzwa.Wewe nakupuuza tu unaongea kishabiki mbona hiyo tume ya hovyo bado mnaing'ang'ania wakati Dunia nzima inajua kuwa inasimamiwa na Makada wa CCM?!
MimiNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika CCM ina mamilioni ya wanachama,ina washabiki wa kutosha ,ina wafuasi wengi sana ,ina aminika sana ,ina kubalika sana ,inapokeleka na kupokewa na mamilioni ya watanzania kila ipitapo,ina nafasi katika mioyo ya watanzania. Ukiona mkutano wa ndani tu watu wana jaa na kufurika kiasi hiki ,basi ni lazima ufahamu ya kuwa chama hiki kipo mioyoni mwa watu na kimebeba matumaini yao.
Hawa unaowaona pichani ni Sehemu tu ya maelfu ya wengine ambao wanakuwa wamebakia nje kwa kukosa nafasi ya kukaa ndani. Hata uchukue ukumbi wenye ukubwa wa aina ipi , CCM inauwezo wa kuujaza ndani ya dakika moja na wengine kubakia nje ya ukumbi.CCM ina uwezo wa kuujaza uwanja wa Taifa na ukabakia uking'aa kwa rangi za kijani na njano tu.
Kwa hakika hiki chama ni mpango wa Mungu mwenyewe.huwezi ukashindana nacho hata kidogo.iwe ni jukwaani au katika sanduku la kura.
Nawakumbusheni tu kuwa hapa ni Mkoani Shinyanga wilaya ya KahamaView attachment 3121159View attachment 3121160
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huku kwetu watu wanaandikishwa uanachamaNdugu zangu Watanzania,

We unazani mimi ni kunguru namba yako tu ya whatsapp sina ningekurushiaUliandamania labda chumbani kwako na kumuacha mbowe mwenyewe akikamatwa kama kuku.
Matapeli tu nyie msiojitambua.We unazani mimi ni kunguru namba yako tu ya whatsapp sina ningekurushia