Kama Mkutano wa Ndani Unajaa Watu Kiasi Hiki. Vipi Kwa Mkutano wa Nje? CCM ina uwezo wa kujaza hata Uwanja wa Taifa

well done SG Dr.Emmanul Nchimbi.🌹

sasa unakuta chama cha siasa, mathalan chadema eti kiongozi wa kanda inayohusisha mikoa zaid ya mitatu anashinda uchaguzi kwa kura 60 kati ya kura 70 halafu eti wanashangilia kabisa 🤣

yaani uchaguzi wa kanda una watu wachache kuliko wajumbe wa tawi au shina la CCM?

halafu eti wanakuja mitandaoni kwa mbwembwe na kumbwekabweka eti ng'we ng'we watashinda uchaguzi sijui serikali za mitaa au udiwani, thubutu 🐒
 
Kujaza watu wasiokuwa makini na wenye ujasiri wa kuhoji ni sawa na kazi bure!
 
Hakuna mtu asiyependa hela Chawa Luca.

Wewe hukupata mwaliko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…