CCM haiwezi kumnunua mtu kwa ajili ya kujiunga . CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
..Ccm inatoa wapi fedha za kufanya mambo ya anasa na kifahari tunayoyashuhudia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM haiwezi kumnunua mtu kwa ajili ya kujiunga . CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
Mambo yapi hayo?..Ccm inatoa wapi fedha za kufanya mambo ya anasa na kifahari tunayoyashuhudia?
Mambo yapi hayo?
Kasome kitabu chake.Weka hayo maneno ya Hayati
Hamna namna, akiongezea na posho za matangazo alizo pewa, alhamdullillah ata sogea sogeaMi huwa nampa mpa hela ya vocha sihaba
well done SG Dr.Emmanul Nchimbi.🌹Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika CCM ina mamilioni ya wanachama,ina washabiki wa kutosha ,ina wafuasi wengi sana ,ina aminika sana ,ina kubalika sana ,inapokeleka na kupokewa na mamilioni ya watanzania kila ipitapo,ina nafasi katika mioyo ya watanzania. Ukiona mkutano wa ndani tu watu wana jaa na kufurika kiasi hiki ,basi ni lazima ufahamu ya kuwa chama hiki kipo mioyoni mwa watu na kimebeba matumaini yao.
Hawa unaowaona pichani ni Sehemu tu ya maelfu ya wengine ambao wanakuwa wamebakia nje kwa kukosa nafasi ya kukaa ndani. Hata uchukue ukumbi wenye ukubwa wa aina ipi , CCM inauwezo wa kuujaza ndani ya dakika moja na wengine kubakia nje ya ukumbi.CCM ina uwezo wa kuujaza uwanja wa Taifa na ukabakia uking'aa kwa rangi za kijani na njano tu.
Kwa hakika hiki chama ni mpango wa Mungu mwenyewe.huwezi ukashindana nacho hata kidogo.iwe ni jukwaani au katika sanduku la kura.
Nawakumbusheni tu kuwa hapa ni Mkoani Shinyanga wilaya ya KahamaView attachment 3121159View attachment 3121160
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mq shaa Allah.Wafanyakazi wa Halimashauri na Waalimu hao 🤣🤣🤣
Ulitaka watetee ya mbowe?Wengi wanatetea maslahi yao na ugali wao! Hali ilivyo hata wao wanaielewa ila hamna namna
Laki laki kila mmoja.Kama kila mtu akitoka humo ana kaelf khamsin kake kwanini wasijae
Nakuonaga sana pale Ramada wewe bibi ukiwa umeitwa kuchukua hivyo vilaki laki vyenuLaki laki kila mmoja.
Usikivunjie heshima chama tawala kwa vielfu hamsini wewe.
UWT ndiyo walivyo mkuuHamna namna, akiongezea na posho za matangazo alizo pewa, alhamdullillah ata sogea sogea
Hakuna mtu asiyependa hela Chawa Luca.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika CCM ina mamilioni ya wanachama,ina washabiki wa kutosha ,ina wafuasi wengi sana ,ina aminika sana ,ina kubalika sana ,inapokeleka na kupokewa na mamilioni ya watanzania kila ipitapo,ina nafasi katika mioyo ya watanzania. Ukiona mkutano wa ndani tu watu wana jaa na kufurika kiasi hiki ,basi ni lazima ufahamu ya kuwa chama hiki kipo mioyoni mwa watu na kimebeba matumaini yao.
Hawa unaowaona pichani ni Sehemu tu ya maelfu ya wengine ambao wanakuwa wamebakia nje kwa kukosa nafasi ya kukaa ndani. Hata uchukue ukumbi wenye ukubwa wa aina ipi , CCM inauwezo wa kuujaza ndani ya dakika moja na wengine kubakia nje ya ukumbi.CCM ina uwezo wa kuujaza uwanja wa Taifa na ukabakia uking'aa kwa rangi za kijani na njano tu.
Kwa hakika hiki chama ni mpango wa Mungu mwenyewe.huwezi ukashindana nacho hata kidogo.iwe ni jukwaani au katika sanduku la kura.
Nawakumbusheni tu kuwa hapa ni Mkoani Shinyanga wilaya ya KahamaView attachment 3121159View attachment 3121160
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nae muhananga tu kama fisiemuUlitaka watetee ya mbowe?