Kama Mkutano wa Ndani Unajaa Watu Kiasi Hiki. Vipi Kwa Mkutano wa Nje? CCM ina uwezo wa kujaza hata Uwanja wa Taifa

Kama Mkutano wa Ndani Unajaa Watu Kiasi Hiki. Vipi Kwa Mkutano wa Nje? CCM ina uwezo wa kujaza hata Uwanja wa Taifa

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika CCM ina mamilioni ya wanachama,ina washabiki wa kutosha ,ina wafuasi wengi sana ,ina aminika sana ,ina kubalika sana ,inapokeleka na kupokewa na mamilioni ya watanzania kila ipitapo,ina nafasi katika mioyo ya watanzania. Ukiona mkutano wa ndani tu watu wana jaa na kufurika kiasi hiki ,basi ni lazima ufahamu ya kuwa chama hiki kipo mioyoni mwa watu na kimebeba matumaini yao.

Hawa unaowaona pichani ni Sehemu tu ya maelfu ya wengine ambao wanakuwa wamebakia nje kwa kukosa nafasi ya kukaa ndani. Hata uchukue ukumbi wenye ukubwa wa aina ipi , CCM inauwezo wa kuujaza ndani ya dakika moja na wengine kubakia nje ya ukumbi.CCM ina uwezo wa kuujaza uwanja wa Taifa na ukabakia uking'aa kwa rangi za kijani na njano tu.

Kwa hakika hiki chama ni mpango wa Mungu mwenyewe.huwezi ukashindana nacho hata kidogo.iwe ni jukwaani au katika sanduku la kura.

Nawakumbusheni tu kuwa hapa ni Mkoani Shinyanga wilaya ya Kahama
Screenshot_20241010-171308_1.jpg
Screenshot_20241010-171243_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika CCM ina mamilioni ya wanachama,ina washabiki wa kutosha ,ina wafuasi wengi sana ,ina aminika sana ,ina kubalika sana ,inapokeleka na kupokewa na mamilioni...
Wacha mbwembwe wewe Mwashambwa.

Hivi kujaza uwanja Kwa kukusanya wafanyakazi na wanafunzi wote wa. eneo Hilo, ndiyo unajisifia?😁
 
Wengi wanatetea maslahi yao na ugali wao! Hali ilivyo hata wao wanaielewa ila hamna namna
Acha uongo wako wewe.watu wanaipenda sana CCM katika Nchi hii.hiki ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania.
 
Sasa hao si ni wanachama wake, tena viongozi kuanzia mabalozi wa nyumba 10, tawi, kata hadi mkoa kwa nini wasijae kwenye kaukumbi hako. Kumbuka watanzania wapo milioni 60+ nusu yao ni wapiga kura. Hao hata 1000 hawavuki.
 
Wacha mbwembwe wewe Mwashambwa.........

Hivi kujaza uwanja Kwa kukusanya wafanyakazi na wanafunzi wote wa. eneo Hilo, ndiyo unajisifia?😁
Nenda basi na wewe ukawakusanye hao wanafunzi na watumishi kama unaweza. Si unaona mliitisha maandamano lakini mkakosa watu wa kuandamana hata wanavyuo tu waliwagomea?
 
Sasa hao si ni wanachama wake, tena viongozi kuanzia mabalozi wa nyumba 10, tawi, kata hadi mkoa kwa nini wasijae kwenye kaukumbi hako. Kumbuka watanzania wapo milioni 60+ nusu yao ni wapiga kura. Hao hata 1000 hawavuki.
Mnechekesha kweli.sasa ndio ufahamu ya kuwa CCM Ina wanachama mamilioni kwa mamilioni hapa Nchini. Kodi ukumbi wowote ule na wa ukubwa wowote ule uone namna wana CCM watakavyoujaza kwa haraka .
 
Kama kila mtu akitoka humo ana kaelf khamsin kake kwanini wasijae
Naona sasa mmekubali wenyewe kuwa CCM inajaza watu kwelikweli katika mikutano yake.ila mnabaki kujifariji kuwa inabeba watu hivi kweli unaweza vipi beba na kuwalipa maelfu ya watu wanaofurika kama mchanga wa baharini kiasi hiki?👎
Screenshot_20241009-152555_1.jpg
 
Mnechekesha kweli.sasa ndio ufahamu ya kuwa CCM Ina wanachama mamilioni kwa mamilioni hapa Nchini. Kodi ukumbi wowote ule na wa ukubwa wowote ule uone namna wana CCM watakavyoujaza kwa haraka .
Mimi mwenyewe ni CCM maana ninasaka ajira bado, ila nikipata ndio nitakuwa neutral ground. Ila acha kuhadaa watu kwa hizo picha za wanachama waliokusanyika wilaya nzima tena ni viongozi tu.

Ni kweli CCM ina wanachama wengi japo wapo kimaslahi ilimradi maisha yao yaende tu. Ukipatikana upinzani makini na watu wakiendelea kupigika mtaani CCM inamwagwa mchana peupe.
 
Hatuna mwana CCM aina yako asiyejitambua wala kujielewa. CCM hatugawani wala kugawa ajira bali ndani ya CCM na serikali yake kunagawiwa majukumu kulingana na uwezo wa mtu kiuongozi na kumudu majukumu ya kazi husika.
 
Back
Top Bottom