KAMA MMBWAI NA IWE MMBWAI , Wanasimba wenzangu , Ni nani hasa aliyesababisha Amis Tambwe aachwe ?

Mwakani ataachwa Kichuya maana haendani na mfumo wa Simba na mbaya zaidi baba yake ni Yanga wa kutupwa!
 
Tambwe alidai mshahara mkubwa ambao anaupata Yanga $3000..Hakuna mchawi simba njaa
 
kwanini Musoti aliachwa na baadae tukawa tunahangaika na tatizo la mabeki wa kati kwa kifupi pale simba kila kiongozi ni kocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…