Si mna vifaru na mabomu? watz tukiona hayo tu tunafyata.Kwani unadhani mpango wa kutokukubali matokeo ya kushindwa na kuhamasisha vijana kwa kutumia mitandao kuanzisha vurugu ulikuwa haujulikani? Mkuu, changanya na zako
Kuna haja ya kujibiwa kweli?Mi nashindwa kuelewa hata kama kura zimeibiwa magufuli kaongezewa kura vipi kuhusu Lissu kupata kura mil 1 tu ... inamana kura zake nyingine zilikua zinafutwa au kuchomwa?
Hivi umesahau kuwa wahenga walisema 'kuzuia ni bora kuliko kuponya'? Ulitaka watu waachwe wauane kwanza ili vifaru na mabomu vitumike?Si mna vifaru na mabomu? watz tukiona hayo tu tunafyata.
Ndio mziheshimu social platforms!
Nani angemuua nani? changanya vizuri bado "mbongo" haijapata ratio inayotakiwa nadhani.Hivi umesahau kuwa wahenga walisema 'kuzuia ni bora kuliko kuponya'? Ulitaka watu waachwe wauane kwanza ili vifaru na mabomu vitumike?
NIMEKWAMBIA changanya na zako!
Tunaandana moyoni ,kimya kimya yeyote akipata fursa apatane na mdeni wake.Kura feki zilijazwa kwenye Maboksi na kwenye mabegi kila kona ya nchi.
Waliojiandikisha 2000
Waliopiga kula 4000
Magufuli kapata 10000
NEC NI WAPUMBAVU SANA
Yaani kilichofanyika ni kwamba,unakuta kura zimeshaandaliwa na matokeo.zile zilizopigwa halali zenyewe hazihesabiwi kabisa.Mi nashindwa kuelewa hata kama kura zimeibiwa magufuli kaongezewa kura vipi kuhusu Lissu kupata kura mil 1 tu ... inamana kura zake nyingine zilikua zinafutwa au kuchomwa?
Kwanini mlizima intaneti nchi nzima? Kama mlishinda kwa haki na hamkuiba kura kwanini mlizima mtandao?
Je si ushindi wenu ulipaswa kuwa baraka na furaha kwa taifa sasa kwanini mligeuza ushindi wenu kuwa mateso kwa taifa?
Kwakweli kuishi Tanzania kwasasa inahitaji uvumilivu Sana.
INTERNETI INAPIGA KURA?Kwanini mlizima intaneti nchi nzima? Kama mlishinda kwa haki na hamkuiba kura kwanini mlizima mtandao?
Je si ushindi wenu ulipaswa kuwa baraka na furaha kwa taifa sasa kwanini mligeuza ushindi wenu kuwa mateso kwa taifa?
Kwakweli kuishi Tanzania kwasasa inahitaji uvumilivu Sana.
Kura halali hazikuhesabiwa, zilitumika za kwenye mabegi. Pia maeneo waliyowatoa wasimamizi Kwa hila wasimamizi walifanya kile walichotumwa kukamilisha ripoti Yao ya kupika. Nanukuu IGP Siro asubuhi tarehe 28 akihojiwa baada ya kupiga Kura alisema ' Wananchi wamechagua Maendeleo' Ndio maana kuna Rais mmoja WA Kenya aliwahi kutuita Watanzania maiti.Yaani kilichofanyika ni kwamba,unakuta kura zimeshaandaliwa na matokeo.zile zilizopigwa halali zenyewe hazihesabiwi kabisa.
Achana naye. Huyu nadhani ni mtoto mdogo hata maana ya uchaguzi hajui. Swali lake ni la kitoto sana.Kuna haja ya kujibiwa kweli?