TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Ukihitaji salamu subiri kwanza nimalize kunywa Supu!
Kuna ka-kikundi kameibuka hapa Tanzania hasahasa kwenye Mitandao ya Kijamii ambako bila kupepesa macho kameamua kuwatetea Hamas kwa mauaji waliyofanya huko Israel, ila hako hako Ka-Kikundi kameendelea kulaani mauaji yaliyofanywa na Israel kwa Wanamgambo hao wa Hamas na Palestina kwa Ujumla.
Inakuwaje Kuuliwa wengine nyie mnapenda na wengine wenye mlengo wenu kuuliwa muumie?
Don't be Keyboard Warriors, take Action!
Jikusanyeni tuwachangie nauli mwende mkawasaidie ndugu zenu wanao onewa huko Palestina ili mkumbukwe hapo baadae kama mashujaa!
Kwa Atakaye kuwa tayari kwa ajili ya safari anicheki tukanauone@gmail.com
Onyo:
Ukijenga Hoja tutajenga hoja kwa pamoja.
Ukija na hasira zako za kunyimwa papuchi basi usije ku-report kwa mods!