Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
TuliaBila picha mkuu huu uzi hauja utendea haki kabisa
Covid I9 imetu onyesha aina ya viongozi wa Africa, kwamba wako tayari kwa lolote kuhusi wananchi wao ili kupata pesa.....haijalishi madhara ya takao tokoe kila mtu atapambambana vya kwake, hapa ni kujiongeza na familia yako.Ni dhahiri hata nyie viongozi wa serikali mnakubali kuwa mliingia kitanzini kupata mkopo wa tril 1.3 toka Wb kwa mashariti ya kupambana na Uviko 19 lakini mkijua kabisa hali sio mbaya kihivyo.
Maana nawaona kwenye dhifa la kitaifa kumkaribisha rais wa Burundi wengi mmevaa barakoa kama geresha, hata social distancing hakuna kabisa.
Hii inadhihirisha kuwa kumbe mmeshatambua kuwa hili janga japokuwa lipo lakini sio kwa namna wafadhili wanataka iwe.
Hii ni wazi kuwa mlikubali kutuletea chanjo ambazo hazithibisha kukinga Uviko 19 ili mvute Tril 1.3.
My take; Mmetumia afya za watz kama dhamana ya mkopo wa tril 1.3. Zitumike vyema kama inavyistahili.
Weka picha mkuu caption tutajiongezaTulia
Dawa Iingilie Vizuri WeweTulia
Wacha yafe tu kazi yao kula tozo tuNi dhahiri hata nyie viongozi wa serikali mnakubali kuwa mliingia kitanzini kupata mkopo wa tril 1.3 toka Wb kwa mashariti ya kupambana na Uviko 19 lakini mkijua kabisa hali sio mbaya kihivyo.
Maana nawaona kwenye dhifa la kitaifa kumkaribisha rais wa Burundi wengi mmevaa barakoa kama geresha, hata social distancing hakuna kabisa.
Hii inadhihirisha kuwa kumbe mmeshatambua kuwa hili janga japokuwa lipo lakini sio kwa namna wafadhili wanataka iwe.
Hii ni wazi kuwa mlikubali kutuletea chanjo ambazo hazithibisha kukinga Uviko 19 ili mvute Tril 1.3.
My take; Mmetumia afya za watz kama dhamana ya mkopo wa tril 1.3. Zitumike vyema kama inavyistahili.
Ikasepa naeMabeberu Hayatupendi
Tumtangulize Mungu Ndugu Zangu
COVID 19 Ni Shetani Na Tutamshinda
Tutaanza Kumshukuru Mungu Leo Ijumaa, Jumamosi Na Jumapili
By Jiwe
Haina Mchezo Mchezo HiyoIkasepa nae
Betri ya saa ikashindwa kuhimili vijidudu.Haina Mchezo Mchezo Hiyo
Yaani Midundo Ikapiga Tofauti KabisaBetri ya saa ikashindwa kuhimili vijidudu.
Alipotea kimyakimya aisee.Yaani Midundo Ikapiga Tofauti Kabisa