Kama mnalalama kuwa wamachinga wananyanyaswa sasa hivi mbona wakati wameruhusiwa na hayati Magufuli mlisema wanaharibu mipango miji! Kuweni na msimamo

Kama mnalalama kuwa wamachinga wananyanyaswa sasa hivi mbona wakati wameruhusiwa na hayati Magufuli mlisema wanaharibu mipango miji! Kuweni na msimamo

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Sasa naona Katibu mkuu wa UVCCM Kenani Kihongosi ameamua kuingia mstari wa Mbele kuongoza mapambano dhidi ya wamachinga. Bavicha tunalaani vitendo hivyo na tutaongoza mapambano ya kudai #KatibaMpya itakayotoa Uhuru wa vijana kufanya biashara bila bugdha.

IMG_20220124_022701.jpg
IMG_20220124_022655.jpg
 
CCM hatutegemei kura zenu wanyonge/Wala hao machinga.

Ushindi Ni lazima Kama ilivyofanyika 2020.
 
Nguvu gani waliyo nayo hao mafala?? Si umewaona juzi pale ilala boma. Ni maOpportunist sana tu mbweha, walifurai kupakwa mafuta na marehemu JPM wakasahau vilio vya wengi na pia kuwa kuna kesho sasa wasepeshwe zao tu, wanachafua mji hao
Unajua nguvu ya wamachinga?
 
Sasa naona Katibu mkuu wa UVCCM Kenani Kihongozi ameamua kuingia mstari wa Mbele kuongoza mapambano dhidi ya wamachinga. Bavicha tunalaani vitendo hivyo na tutaongoza mapambano ya kudai #KatibaMpya itakayotoa Uhuru wa vijana kufanya biashara bila bugdha. https://t.co/tvJUAjNFcRView attachment 2093396View attachment 2093397
Kiukweli hii nchi unahitaji mkono wa Chuma kwenye kufuata Sheria.

Tunaoneana huruma kipumbavu sana.

Hivi we mtu na akili zako unaweza kutetea watu kufanyia biashara barabarani?
 
Sasa naona Katibu mkuu wa UVCCM Kenani Kihongozi ameamua kuingia mstari wa Mbele kuongoza mapambano dhidi ya wamachinga. Bavicha tunalaani vitendo hivyo na tutaongoza mapambano ya kudai #KatibaMpya itakayotoa Uhuru wa vijana kufanya biashara bila bugdha. https://t.co/tvJUAjNFcRView attachment 2093396View attachment 2093397
Hawa jamaa huwa wanasiasa za chuki sana, wao kisa walikuwa hawampendi JPM hivyo kila alichofanya walikiona kibaya leo wanaanza kugeuka tena.
 
Back
Top Bottom