Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
safari hii anasafiri na Babra.MBOnA kama anajificha kwenye kichaka cha safari. Kwan safari zake zimeanza mwaka huu??
NanukuuHivi kuna sehem kasema amemteua try again
Kwa clip niliyiona kasema kwa kikao walichokaa sep 21 wamekubaliana sijaskia nmeamua
Yaani kwa akili yako unafikiria kabisa mtu mmoja mwenye hisa kwa wingi huo asiwe na mamlaka hata kidogo kwenye kulinda hisa zake,kweli!Wanasimba leteni katiba yenu tuwasadie moo ataitafisha timu yenu.yeye ana hisa 49% anapata wapi mamlaka ya kuteua,arafu inakuwaje MTU aliyejiuzulu anapata mandate ya kuteua
Kwenye magroup ya watani tulikwa tunataka sana katiba za hizi clubs ili wanachama tuwe na ABC, kwasasa tunatumia uelewa na kanuni zilizopo,MTU alijiuru anapata wapi mandate ya kufanya uteuzi.hapana sielewi ninachoelewa ni kwamba MO anafanya kosa la jinai kuidhamini simba akisimama nchale akikaa nchale
wasikupe tabu hao subiri huo mfupo uanze huko utopoloni utasikia wanamwagiana sifa kedekede ,hawaelewi kitu wanaona mageni kabisaYaani kwa akili yako unafikiria kabisa mtu mmoja mwenye hisa kwa wingi huo asiwe na mamlaka hata kidogo kwenye kulinda hisa zake,kweli!
hata kilaza ukimuelewesha kitu zaidi ya mara 100 haelewi unamuacha tu , nenda serikalini kaombe katiba ya simba iliyopitishwa na wanachama wewe unaomba kwenye ma group.....kumbe ulikuwa unagomba kitu usichokielewa?Kwenye magroup ya watani tulikwa tunataka sana katiba za hizi clubs ili wanachama tuwe na ABC, kwasasa tunatumia uelewa na kanuni zilizopo,MTU alijiuru anapata wapi mandate ya kufanya uteuzi.
Mwenyekiti wa bodi sio lazima atoke upande wa mwekezaji. Kumbuka kuwa ile ni bodi ya wakurugenzi na sio bodi ya mwekezaji, hivyo ni vyema kuwepo mtu neutral ambaye anaweza kusimama katikati kwa maslahi ya wote (mwekezji na Simba) na sio kwa maslahi ya mwekezaji.Mwenyekiti wa Bodi ni nafasi ya mwekezaji na si wanachama.
Mwenyekiti wa Simba SC ni Murtaza Mangungu ambaye anaingia kwenye Bodi ya Wakurugenzi kuwakilisha wanachama.
Yaani kwa akili yako unafikiria kabisa mtu mmoja mwenye hisa kwa wingi huo asiwe na mamlaka hata kidogo kwenye kulinda hisa zake,kwe
Katiba inapaswa kuwa accessible kwa wanachama anyway,mapenzi huficha ukweli.ila ukweli huwa unatabia ya kuchelewahata kilaza ukimuelewesha kitu zaidi ya mara 100 haelewi unamuacha tu , nenda serikalini kaombe katiba ya simba iliyopitishwa na wanachama wewe unaomba kwenye ma group.....kumbe ulikuwa unagomba kitu usichokielewa?
Tusaidieni basi utopolo mtuw a kuweka hapo jana ili mridhike, mwakalebela vipi?Mwenyekiti wa bodi sio lazima atoke upande wa mwekezaji. Kumbuka kuwa ile ni bodi ya wakurugenzi na sio bodi ya mwekezaji, hivyo ni vyema kuwepo mtu neutral ambaye anaweza kusimama katikati kwa maslahi ya wote (mwekezji na Simba) na sio kwa maslahi ya mwekezaji.
Mona kama unateseka na timu ambayo si yako? Vyura bhana!!Amefanya mambo kienyeji. Kama ilikua makubaliano na wenzake kwann isitolewe official na club social accounts au hata press.
Ya utopo iko accessible wapi? katiba ya nchi iko acccessible wapi? kama kweli unataka kuipata katiba ya simba hata ukienda Bmt utaipata,ila kama ni kwa ajili tu ya kuchangamsha baraza la jukwaa tuendelee kupigiana makeleleKatiba inapaswa kuwa accessible kwa wanachama anyway,mapenzi huficha ukweli.ila ukweli huwa unatabia ya kuchelewa
Kwani mwenye 51 na 49 nani anatoa mwenyekiti kwenye bodi.kuna uwenyekiti wa bodi na uwenyekeiti wa shareholders wanachama alipo mangungu kwani kila kitu lazima ulaumu kama hujui?kukaa kimya ni k uficha ujinga tangu tarehe 21 washapitisha bodi huo uamuzi
Mangungu ni mwenyekiti wa klabu anwakilisha wanachama 51 percent shareholders, try again ni mwenyekiti wa bodi upande wa mwekezaji, mbona vichwa vigumu sana, he
TutajuajeMBOnA kama anajificha kwenye kichaka cha safari. Kwan safari zake zimeanza mwaka huu??
Unahoji mamlaka kayapata wapi,hujui kaweka mzigo wa bilioni kadhaa ambazo wewe huna????!!!! Mwenye pesa si mwenzio!Hii taasisi ya simba ishawekwa mfukoni aiseh. Utaratibu wenu ukoje mtu alojiuzulu anapata wapi mamlaka ya kuteua?? Na ile midoli itaitwa friends of nani maana tajiri anasafari nyingi😆😆😆😆
Iko hivi bwamdogo, Simba ina pande pande mbili (1. Wanachama hisa 51% na Mwekezaji/wawekezaji 49%). Sasa kila upande una mwenyekiti na wajumbe wa bodi. Kwa upande wa wanachama mwenyekiti anachaguliwa kwa kura za wanachama , na wajumbe wa bodi pia wanachaguliwa kwenye mkutano mkuu,Hivi kama Simba wana hisa 51 na Moo 49, mwenye hisa nyingi si ndio anakuwa Mwenyekiti? Naomba kueleweshwa.
Aiseee !!Hii taasisi ya simba ishawekwa mfukoni aiseh. Utaratibu wenu ukoje mtu alojiuzulu anapata wapi mamlaka ya kuteua?? Na ile midoli itaitwa friends of nani maana tajiri anasafari nyingi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]