Kama Mo kajiuzulu amepata wapi Mamlaka ya kuteua?

Kama Mo kajiuzulu amepata wapi Mamlaka ya kuteua?

Hivi kuna sehem kasema amemteua try again
Kwa clip niliyiona kasema kwa kikao walichokaa sep 21 wamekubaliana sijaskia nmeamua
Nanukuu
"nimekuwa na Makamu wangu ambaye anaitwa Salim Abdallah Muhene (try again) kwa makubaliano ambayo tunayo kati yangu mimi ambaye ni mwekezaji na Simba sport club, nachukua nafasi hii kumteua bwana Salim Abdallah Muhene kuwa mwenyekiti wa bodi"
mwisho wa kunukuu
 
Wanasimba leteni katiba yenu tuwasadie moo ataitafisha timu yenu.yeye ana hisa 49% anapata wapi mamlaka ya kuteua,arafu inakuwaje MTU aliyejiuzulu anapata mandate ya kuteua
Yaani kwa akili yako unafikiria kabisa mtu mmoja mwenye hisa kwa wingi huo asiwe na mamlaka hata kidogo kwenye kulinda hisa zake,kweli!
 
mambo haya magumu sana yaani kupigwa pini na manara tu kaamua kusanda, yeye si ana hela bana anakimbia nini sasa?
 
Sasa naelewa kwa nini walimu wakati mwingine huua wanafunzi vilaza kwa viboko yaani kuna majitu ukiwa na hasira hadi inabidi ucheke, bora basi hata mtu awe anazingua makusudi yaani kuna mengine hayajui tofauti ya mwenyekiti wa klabu na mwenyekiti wa bodi, it is so sad, wajinga ni wengi sana
 
hapana sielewi ninachoelewa ni kwamba MO anafanya kosa la jinai kuidhamini simba akisimama nchale akikaa nchale
Kwenye magroup ya watani tulikwa tunataka sana katiba za hizi clubs ili wanachama tuwe na ABC, kwasasa tunatumia uelewa na kanuni zilizopo,MTU alijiuru anapata wapi mandate ya kufanya uteuzi.
 
Yaani kwa akili yako unafikiria kabisa mtu mmoja mwenye hisa kwa wingi huo asiwe na mamlaka hata kidogo kwenye kulinda hisa zake,kweli!
wasikupe tabu hao subiri huo mfupo uanze huko utopoloni utasikia wanamwagiana sifa kedekede ,hawaelewi kitu wanaona mageni kabisa
 
Kwenye magroup ya watani tulikwa tunataka sana katiba za hizi clubs ili wanachama tuwe na ABC, kwasasa tunatumia uelewa na kanuni zilizopo,MTU alijiuru anapata wapi mandate ya kufanya uteuzi.
hata kilaza ukimuelewesha kitu zaidi ya mara 100 haelewi unamuacha tu , nenda serikalini kaombe katiba ya simba iliyopitishwa na wanachama wewe unaomba kwenye ma group.....kumbe ulikuwa unagomba kitu usichokielewa?
 
Mwenyekiti wa Bodi ni nafasi ya mwekezaji na si wanachama.

Mwenyekiti wa Simba SC ni Murtaza Mangungu ambaye anaingia kwenye Bodi ya Wakurugenzi kuwakilisha wanachama.
Mwenyekiti wa bodi sio lazima atoke upande wa mwekezaji. Kumbuka kuwa ile ni bodi ya wakurugenzi na sio bodi ya mwekezaji, hivyo ni vyema kuwepo mtu neutral ambaye anaweza kusimama katikati kwa maslahi ya wote (mwekezji na Simba) na sio kwa maslahi ya mwekezaji.
 
Yaani kwa akili yako unafikiria kabisa mtu mmoja mwenye hisa kwa wingi huo asiwe na mamlaka hata kidogo kwenye kulinda hisa zake,kwe

hata kilaza ukimuelewesha kitu zaidi ya mara 100 haelewi unamuacha tu , nenda serikalini kaombe katiba ya simba iliyopitishwa na wanachama wewe unaomba kwenye ma group.....kumbe ulikuwa unagomba kitu usichokielewa?
Katiba inapaswa kuwa accessible kwa wanachama anyway,mapenzi huficha ukweli.ila ukweli huwa unatabia ya kuchelewa
 
Mwenyekiti wa bodi sio lazima atoke upande wa mwekezaji. Kumbuka kuwa ile ni bodi ya wakurugenzi na sio bodi ya mwekezaji, hivyo ni vyema kuwepo mtu neutral ambaye anaweza kusimama katikati kwa maslahi ya wote (mwekezji na Simba) na sio kwa maslahi ya mwekezaji.
Tusaidieni basi utopolo mtuw a kuweka hapo jana ili mridhike, mwakalebela vipi?
 
Katiba inapaswa kuwa accessible kwa wanachama anyway,mapenzi huficha ukweli.ila ukweli huwa unatabia ya kuchelewa
Ya utopo iko accessible wapi? katiba ya nchi iko acccessible wapi? kama kweli unataka kuipata katiba ya simba hata ukienda Bmt utaipata,ila kama ni kwa ajili tu ya kuchangamsha baraza la jukwaa tuendelee kupigiana makelele
 
kuna uwenyekiti wa bodi na uwenyekeiti wa shareholders wanachama alipo mangungu kwani kila kitu lazima ulaumu kama hujui?kukaa kimya ni k uficha ujinga tangu tarehe 21 washapitisha bodi huo uamuzi
Mangungu ni mwenyekiti wa klabu anwakilisha wanachama 51 percent shareholders, try again ni mwenyekiti wa bodi upande wa mwekezaji, mbona vichwa vigumu sana, he
Kwani mwenye 51 na 49 nani anatoa mwenyekiti kwenye bodi.
 
Hii taasisi ya simba ishawekwa mfukoni aiseh. Utaratibu wenu ukoje mtu alojiuzulu anapata wapi mamlaka ya kuteua?? Na ile midoli itaitwa friends of nani maana tajiri anasafari nyingi😆😆😆😆
Unahoji mamlaka kayapata wapi,hujui kaweka mzigo wa bilioni kadhaa ambazo wewe huna????!!!! Mwenye pesa si mwenzio!
 
Hivi kama Simba wana hisa 51 na Moo 49, mwenye hisa nyingi si ndio anakuwa Mwenyekiti? Naomba kueleweshwa.
Iko hivi bwamdogo, Simba ina pande pande mbili (1. Wanachama hisa 51% na Mwekezaji/wawekezaji 49%). Sasa kila upande una mwenyekiti na wajumbe wa bodi. Kwa upande wa wanachama mwenyekiti anachaguliwa kwa kura za wanachama , na wajumbe wa bodi pia wanachaguliwa kwenye mkutano mkuu,
Kwa upande wa mwekezaji/wawezekezaji, mwenye hisa nyingi anakuwa automatically ni mweketi wa bodi ya uwekezaji wa simba na anauwezo wa kuteua wajumbe wa bodi kadili ya utashi au uwiano wa hisa kama kunawawekezaji wengine. Kwahiyo kwakuwa simba inamwekezaji mmoja basi anamamlaka ya kuteua yoyote anayemtaka kuwa makamu mwenyekiti au mjumbe wa bodi upande wa uwekezezaji.
Mwisho wa siku hizi pande zote mbili zinakutana kwenye kikao kimoja na kuunda bodi ya wakurugenzi ya waendeshaji/wasimizi/wenye dhamana ya kusimamia kampuni ya simba sports club ambapo wajumbe wote niliowataja hapo juu wanaingia. Kwenye kikao hiki au vikao hivi ndipo sasa wanapigaana kura za kupata mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa kampuni ya simba sc. Hapo kila mtu anakuwa na nafasi sawa ya kuchaguliwakutegemeana na ushawishi wake. Bodi hii sasa ndio mwajiri mkuu wa club au kampuni ya simba hususani mtendaji mkuu (CEO like senzo au babra) wanaajiriwa na chombo hiki.
Sasa mo dewji amejiuzuru kule upande wa bosi ya wawekezezaji wa simba ambapo yeye ndie mwenye hisa zote na anamalaka ya kumteua yoyote katika nafasi yoyote. Kwahiyo hili la kumteua try again sio ishu ulilielewa hili.
NIMECHOKA KUANDIKA KWA SASA nilitaka pia nielezee..........
 
Hii taasisi ya simba ishawekwa mfukoni aiseh. Utaratibu wenu ukoje mtu alojiuzulu anapata wapi mamlaka ya kuteua?? Na ile midoli itaitwa friends of nani maana tajiri anasafari nyingi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Aiseee !!
 
Anawaachia wanachama club Yao. Kidogo kidogo atahamisha investment yake halafu tuone survival ya simba
 
Back
Top Bottom