Kwa mtazamo wako ni sawa na kwa mtazamo wa Simba SC ni sawa pia kuacha hiyo nafasi kwa Mwekezaji au mtu kutoka upande wa Mwekezaji.Mwenyekiti wa bodi sio lazima atoke upande wa mwekezaji. Kumbuka kuwa ile ni bodi ya wakurugenzi na sio bodi ya mwekezaji, hivyo ni vyema kuwepo mtu neutral ambaye anaweza kusimama katikati kwa maslahi ya wote (mwekezji na Simba) na sio kwa maslahi ya mwekezaji.
Ni jambo jema katiba ziwekwe wazi........hatujui katiba ya Simba inasemaje kuhusu swala hili. Ila hapa kwa maelezo yake mkutano ulifanyika tarehe 21.09.2021, na kutoa maamuzi hayo. Leo yeye alikuja kwa ajili ya kuujulisha uma wa wapenda soka juu ya maamuzi yake. Na sababu za kujiuzulu kaziweka wazi......hatuwezi pinga hilo.Kwenye magroup ya watani tulikwa tunataka sana katiba za hizi clubs ili wanachama tuwe na ABC, kwasasa tunatumia uelewa na kanuni zilizopo,MTU alijiuru anapata wapi mandate ya kufanya uteuzi.
Hiyo ni sawa kabisa,ila timing yake ya kujiuzulu sio nzuri
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kaweka akaunti ya GSM....Hili litimu linatia aibu tulisema hii timu ni ya familia mtu anajiuzulu anamteua mtu wa kumrithi kweli Rage hakukosea aliposema simba ni mbumbumbu hawaelewi kitu wanaona ni sawa halafu asema b20 ameweka akaunti gani
Kiufupi ni kwamba walishakaa kikao na wakakubaliana mo atakabidhi majukumu kwa try again, kwaiyo kwa bodi hakuna kilichoharibika, kwaiyo ilikuwa tu ni taarifa toka kikaoni tangu tarehe 21, mbayo tumejuzwa leo.Hii taasisi ya simba ishawekwa mfukoni aiseh. Utaratibu wenu ukoje mtu alojiuzulu anapata wapi mamlaka ya kuteua?
Na ile midoli itaitwa friends of nani maana tajiri anasafari nyingi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
tatizo linakuja jinsi moo alivyomteua huyo try again,ametoa mamlaka wapi ya kumteua nayeye kashachia ngazi,kwani katiba ya simba inasemaje unajua kuna vitu simba wanafichwa,bora ukweli uwekwe hadharanui,mara kabaki kwenye kuendeleza vijanakuna uwenyekiti wa bodi na uwenyekeiti wa shareholders wanachama alipo mangungu kwani kila kitu lazima ulaumu kama hujui?kukaa kimya ni k uficha ujinga tangu tarehe 21 washapitisha bodi huo uamuzi
Mangungu ni mwenyekiti wa klabu anwakilisha wanachama 51 percent shareholders, try again ni mwenyekiti wa bodi upande wa mwekezaji, mbona vichwa vigumu sana, he
Simba ni timu ya Melt group.
kwani katiba inasemaje kuhusu hilo embu tufundishe sisi wajinga tusiojua kitutatizo linakuja jinsi moo alivyomteua huyo try again,ametoa mamlaka wapi ya kumteua nayeye kashachia ngazi,kwani katiba ya simba inasemaje unajua kuna vitu simba wanafichwa,bora ukweli uwekwe hadharanui,mara kabaki kwenye kuendeleza vijana
Kiufupi ni kwamba walishakaa kikao na wakakubaliana mo atakabidhi majukumu kwa try again, kwaiyo kwa bodi hakuna kilichoharibika, kwaiyo ilikuwa tu ni taarifa toka kikaoni tangu tarehe 21, mbayo tumejuzwa leo.
sijajua katiba yao inasemaje,hata kama nikwasababu ya mabadiliko ya club simba kwanini hawakusubiri mpaka ile siku ya mabadiliko ndo waseme moo aachie nafasi moja,kwani katiba inasemaje kuhusu hilo embu tufundishe sisi wajinga tusiojua kitu
hapo pia kuna tatizo inaonekana moo kazinguana na wenzakeBoss Mo bana, badala liandikwe Tangazo la yeye kuachia hiyo nafasi na kupewa mtu mwingine yeye ametuletea taarifa kwa njia ya video!
Mambo ya hisa yana complications sana si marahisi kuyaelewa juu juu.Hivi kama Simba wana hisa 51 na Moo 49, mwenye hisa nyingi si ndio anakuwa Mwenyekiti? Naomba kueleweshwa.
siku y amabadiliko ni lini unajua FCC ishapitisha mabadiliko ya simba rasmi na siku cheque ya b 20 inakabidhiwa kulikuw ana mwakilishi wa serikali wa Fcc? ni siku gani unayozungumzia wewe?sijajua katiba yao inasemaje,hata kama nikwasababu ya mabadiliko ya club simba kwanini hawakusubiri mpaka ile siku ya mabadiliko ndo waseme moo aachie nafasi moja,
haha cheque simba pale walipigwasiku y amabadiliko ni lini unajua FCC ishapitisha mabadiliko ya simba rasmi na siku cheque ya b 20 inakabidhiwa kulikuw ana mwakilishi wa serikali wa Fcc? ni siku gani unayozungumzia wewe?
Siku zote Board of directors huteuliwa na shareholders, kama MO ana voting rights kubwa ni haki yake kama mmiliki kuteua Board of Director.Hii taasisi ya simba ishawekwa mfukoni aiseh. Utaratibu wenu ukoje mtu alojiuzulu anapata wapi mamlaka ya kuteua?
Na ile midoli itaitwa friends of nani maana tajiri anasafari nyingi😆😆😆😆
Ni jambo jema kama serikali pia ilipigwa maana muwakilishi wa FCC alikuwepo pale kama serikali imetapeliwa na kupigwa sembuse sisi?haha cheque simba pale walipigwa
Kam watangazaji wa EFM wanakuambia wanachama wana 51 % ndiyo wengi ahalafu mtu ana 49% wanalalamika unatarajia nini kwa vilaza wasio na microphone, yaani its acommon sense kwamba majority shareholder ni MO, kosa la MO ni hii miaka 4 simba kufanya vizuri hana kosa jingineSiku zote Board of directors huteuliwa na shareholders, kama MO ana voting rights kubwa ni haki yake kama mmiliki kuteua Board of Director.