chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,531
- 2,912
Kwa mtazamo wako ni sawa na kwa mtazamo wa Simba SC ni sawa pia kuacha hiyo nafasi kwa Mwekezaji au mtu kutoka upande wa Mwekezaji.Mwenyekiti wa bodi sio lazima atoke upande wa mwekezaji. Kumbuka kuwa ile ni bodi ya wakurugenzi na sio bodi ya mwekezaji, hivyo ni vyema kuwepo mtu neutral ambaye anaweza kusimama katikati kwa maslahi ya wote (mwekezji na Simba) na sio kwa maslahi ya mwekezaji.
Na kwasababu zao (Simba SC) hata FCC imezikubali na kupitishwa.