Kama Mo kajiuzulu amepata wapi Mamlaka ya kuteua?

Inaonekana hiyo nafasi ya mwenyekiti wa bodi ni ya mwekezaji sasa kwakuwa yeye mwenyewe ameamua kuachia ngazi kutokana na majukumu yake mengine ameona ateue mtu mwingine wa kumwakilisha.
Ila sina uhakika katiba yao inasemaje.
 
Mbona kama anajificha kwenye kichaka cha safari. Kwan safari zake zimeanza mwaka huu??
 
Inaonekana hiyo nafasi ya mwenyekiti wa bodi ni ya mwekezaji sasa kwakuwa yeye mwenyewe ameamua kuachia ngazi kutokana na majukumu yake mengine ameona ateue mtu mwingine wa kumwakilisha.
Ila sina uhakika katiba yao inasemaje.
kwani uwenyekiti siwakuchaguliwa
 
Inaonekana hiyo nafasi ya mwenyekiti wa bodi ni ya mwekezaji sasa kwakuwa yeye mwenyewe ameamua kuachia ngazi kutokana na majukumu yake mengine ameona ateue mtu mwingine wa kumwakilisha.
Ila sina uhakika katiba yao inasemaje.

Mo is a single majority shareholder na ndo maana alikuwa Mwenyekiti.
Lazima ateue yeye successor as his eye on safeguarding his interests and the club as a whole.
 
Amefanya mambo kienyeji. Kama ilikua makubaliano na wenzake kwann isitolewe official na club social accounts au hata press.
kuna uwenyekiti wa bodi na uwenyekeiti wa shareholders wanachama alipo mangungu kwani kila kitu lazima ulaumu kama hujui?kukaa kimya ni k uficha ujinga tangu tarehe 21 washapitisha bodi huo uamuzi
Mangungu ni mwenyekiti wa klabu anwakilisha wanachama 51 percent shareholders, try again ni mwenyekiti wa bodi upande wa mwekezaji, mbona vichwa vigumu sana, he
 
Mwenyekiti wa Bodi ni nafasi ya mwekezaji na si wanachama.

Mwenyekiti wa Simba SC ni Murtaza Mangungu ambaye anaingia kwenye Bodi ya Wakurugenzi kuwakilisha wanachama.
Hivi kama Simba wana hisa 51 na Moo 49, mwenye hisa nyingi si ndio anakuwa Mwenyekiti? Naomba kueleweshwa.
 
Inaonekana hiyo nafasi ya mwenyekiti wa bodi ni ya mwekezaji sasa kwakuwa yeye mwenyewe ameamua kuachia ngazi kutokana na majukumu yake mengine ameona ateue mtu mwingine wa kumwakilisha.
Ila sina uhakika katiba yao inasemaje.
Wanasimba leteni katiba yenu tuwasadie moo ataitafisha timu yenu.yeye ana hisa 49% anapata wapi mamlaka ya kuteua,arafu inakuwaje MTU aliyejiuzulu anapata mandate ya kuteua
 
Inaonekana hiyo nafasi ya mwenyekiti wa bodi ni ya mwekezaji sasa kwakuwa yeye mwenyewe ameamua kuachia ngazi kutokana na majukumu yake mengine ameona ateue mtu mwingine wa kumwakilisha.
Ila sina uhakika katiba yao inasemaje.
Hiyo ni sawa kabisa,ila timing yake ya kujiuzulu sio nzuri

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
kuna uwenyekiti wa bodi na uwenyekeiti wa shareholders wanachama alipo mangungu kwani kila kitu lazima ulaumu kama hujui?kukaa kimya ni k uficha ujinga tangu tarehe 21 washapitisha bodi huo uamuzi
Mangungu ni mwenyekiti wa klabu anwakilisha wanachama 51 percent shareholders, try again ni mwenyekiti wa bodi upande wa mwekezaji, mbona vichwa vigumu sana, he
Wee mwenyewe ukisoma ulicho andika unaelewa
 
Back
Top Bottom