" Kama Mohammed hatoweza kwenda Mlimani, Mlima huenda kwa Mohammed. Ukrain yalipua Kambi kubwa ya kijeshi ya Urusi.

" Kama Mohammed hatoweza kwenda Mlimani, Mlima huenda kwa Mohammed. Ukrain yalipua Kambi kubwa ya kijeshi ya Urusi.

Ina maana bila drone za Iran Putin asingeipiga Ukraine?

Anyway Iran ina kazi kubwa ya kutafuta ADs nzuri kwa Ulinzi wa anga yake maana zilizopo zilishindwa kuizuia Israel.

Hata ungekuwa na AD nzuri kama shambulizi linafanywa kigaidi ni ngumu sana kuzuia. Hata Urusi na AD zake Zelensky alituma macontainer yenye drones kwenye semitrailer zikapiga madege strategic ya Urusi.
Israel inatumia ugaidi kwenye vita zake.
 
Back
Top Bottom