Kama Moses Phiri ataendelea hivi mpaka Jan 2023 Manzoki wa nini?

Kama Moses Phiri ataendelea hivi mpaka Jan 2023 Manzoki wa nini?

Umbumbu kipaji, ivi unathubutu vipi kumzungumzia mchezaji wa timu Nyingine aliye sajiliwa Kwa milion 900 na ushee wakati wewe ulikua na nafasi ya kumchukua Kwa milioni 400/=ukashindwa!! Ivi mnafikiria Kwa kutumia kichwa au kichwa kimebaki kama muundo tu wa maumbile ya mwanadamu.
Ismail Aden Lage kauliyako imetengeneza tatizo kubwa kuliko kauli yenyewe.[emoji2][emoji2]
Kweli ukiacha kikwete na Baba Yake Manara wengine wote hamna Akili Kule anamkataba wa miezi minne Kwa hiyo dirisha dogo anaweza kuja.
 
Na phiri akiumia? Halafu kwa uwezo wa Manzoki angekuwa anapiga hat trick kila wiki na kwa ushindani ulivyo sasa hivi ubingwa unaweza ukaamuliwa kwa uwiani wa magoli
We mpira haukufai[emoji1787][emoji1787]
 
Manzoki bado tunamhitaji sana. Maana hadi sasa hivi kikosi chote cha Simba striker wa maana ni mmoja tu, huyo Phiri.

Sasa kwa mashindano yote ambayo Simba inashiriki, ni risk kuna mambo mengi; Kuumia, game kukataa, kadi za njano, misumari, na kadhalika.

Ili kuleta dhana halisi ya kikosi kipana, ni muhimu sana kumnasa Manzoki kipindi cha dirisha dogo la usajili, la sivyo hali ya safu yetu ya ushambuliaji itakua ya kumtegemea mtu mmoja tu.
Kwahiyo hamna striker hatar zaidi ya manzoki Africa nzima? Wengine mpira mmeujuliaje[emoji1787]
 
Pale mikia fc wanaposhauriana juu ya mchezaji aliyekwisha sajiliwa na timu nyingine ndipo naikumbuka kauli adhimu ya Al Haj Ismail Aden Rage kwamba wanasimba wote ni mbumbumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana unajua mkataba wa manzoki umetupa kipaumbele sisi Simba Kama ule wa miqson
 
Umbumbu kipaji, ivi unathubutu vipi kumzungumzia mchezaji wa timu Nyingine aliye sajiliwa Kwa milion 900 na ushee wakati wewe ulikua na nafasi ya kumchukua Kwa milioni 400/=ukashindwa!! Ivi mnafikiria Kwa kutumia kichwa au kichwa kimebaki kama muundo tu wa maumbile ya mwanadamu.
Ismail Aden Lage kauliyako imetengeneza tatizo kubwa kuliko kauli yenyewe.[emoji2][emoji2]
Huu Uzi ni comedy Kama komedi za OKW BOBAN SUNZU [emoji1787]
 
Kweli ukiacha kikwete na Baba Yake Manara wengine wote hamna Akili Kule anamkataba wa miezi minne Kwa hiyo dirisha dogo anaweza kuja.
Nawewe na umbumbumbu wako una amini timu itoe zaidi ya milioni 900 za ki Tanzania kumchukua mchezaji Kwa miezi 4. Yaa ni akiliyako Ipo sawa kabisa au unafikiri ao Wachina hawajui thamani ya pesa wanayo toa?
 
Kama Moses Phiri ataendelea na moto huu huu maana yake hatumhtaj manzoki kwa sasa.

PHIRI ameonyesha ni goal scorer mzuri. Kufika January tutaona mwenendo wake lakini anaonyesha ni mzuri wa kujiposition, CHAMA asiumie tu.

SIMBA NGUVU MOJA
Naunga mkono HOJA
 
Back
Top Bottom