Kama Moses Phiri ataendelea hivi mpaka Jan 2023 Manzoki wa nini?

Kweli ukiacha kikwete na Baba Yake Manara wengine wote hamna Akili Kule anamkataba wa miezi minne Kwa hiyo dirisha dogo anaweza kuja.
 
Huyo Fili wenu hamfikii Mayele kwa kufunga
 
Na phiri akiumia? Halafu kwa uwezo wa Manzoki angekuwa anapiga hat trick kila wiki na kwa ushindani ulivyo sasa hivi ubingwa unaweza ukaamuliwa kwa uwiani wa magoli
We mpira haukufai[emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo hamna striker hatar zaidi ya manzoki Africa nzima? Wengine mpira mmeujuliaje[emoji1787]
 
Pale mikia fc wanaposhauriana juu ya mchezaji aliyekwisha sajiliwa na timu nyingine ndipo naikumbuka kauli adhimu ya Al Haj Ismail Aden Rage kwamba wanasimba wote ni mbumbumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana unajua mkataba wa manzoki umetupa kipaumbele sisi Simba Kama ule wa miqson
 
Huu Uzi ni comedy Kama komedi za OKW BOBAN SUNZU [emoji1787]
 
Kweli ukiacha kikwete na Baba Yake Manara wengine wote hamna Akili Kule anamkataba wa miezi minne Kwa hiyo dirisha dogo anaweza kuja.
Nawewe na umbumbumbu wako una amini timu itoe zaidi ya milioni 900 za ki Tanzania kumchukua mchezaji Kwa miezi 4. Yaa ni akiliyako Ipo sawa kabisa au unafikiri ao Wachina hawajui thamani ya pesa wanayo toa?
 
Kama Moses Phiri ataendelea na moto huu huu maana yake hatumhtaj manzoki kwa sasa.

PHIRI ameonyesha ni goal scorer mzuri. Kufika January tutaona mwenendo wake lakini anaonyesha ni mzuri wa kujiposition, CHAMA asiumie tu.

SIMBA NGUVU MOJA
Naunga mkono HOJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…