Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Issue sio kuteka nchi au miji,bali kufanya mapinduzi yenye afya na utu kwa Wakomonist wote wa Ukraine.
Ukraine ni sehemu muhimu kwa Soviet, suala la kuteka Nchi halipo bali kurejesha upya mipaka ya Soviet.
 
Na hivi wamewapa raia silaha kulinda nchi yao basi itakua vita ya kuviziana mtaa kwa mtaa.
 
😆😆 Kwa hiyo unachotaka kuaminisha ni kwamba Russia atashindwa kuingia kyiv?
 
Sio kila shabaha inakua 100% precise.
Bomu linakawaida ya kuexplode mkuu.

Unapopiga bomu katikati ya makazi ya watu maana yake halitoathiri pale linapofikia tu,lazima litaexplode na maeneo ya pembeni na litaleta madhara.

Hivyo hata kama ukapata shabaha basi lazima utawadhuru na wengine kwa sababu ya kule kusambaa kwa bomu.

Hivyo kwa namna yoyote kama hujakusudia kudhuru watu huweI kupiga bomu kwemye makazi ya watu,upate shabaha ama ukose lazima madhara yatatokea tu.

Kwa msingi huu tunayo haki ya kusema kwamba mrusi anaharibu watu na makazi kwa dhuluma tu.
 
Sijui kama wewe ni mtoto, kijana au mtu mzima! Naomba nikuulize wakati wa vita ya Marekani , Uingereza, Ufaransa na wadau wao wa NATO walipovamia Iraq ya Sadam Hussein ulikuwa na umri gani? Je walichukua miezi mingapi kumshinda Sadam Hussein na kuteka mji mkuu wake? Pamoja na kuwa yalikuwa ni mataifa mengi yaliyovamia Iraq, na kuwatumia pia waasi wa Iraq yaani waislam wa Shia, lakini iliwachukua miezi mingi sana kuangusha Utawala wa Sadam Hussein. Je hapo useme Marekani, Uingereza , Ufaransa nk kadhalika hawana nguvu kivile?
Labda huko ni mbali na hukumbuki kama ni kijana mdogo, nikuulize mfano wa hivi karibuni! Marekani na mataifa ya ulaya yalivamia Syria kutaka kumwondoa madakani rais Saad wa Syria, je wamekaa huko miaka mingapi na bila kufanikiwa kumtoa madarakani? Hujui kusoma mwenendo wa vita! Hata kama una nguvu vipi huwezi kuangusha nchi kwa siku 4, 5 HAIWEZEKANI! Hata Marekani na washirika waka wakivamia Tanzania na askari wakaamua kupigana, hawawezi kuiteka nchi kwa wiki moja HAIWEZEKANI. Watashinda kwenye uwanja mpana lakini linapokuja suala la vita ya mitaani (street fights) hapo hakuna tofauti kati ya Marekani na Mbongo!! Hapo hakuna kutumia ndege wala nini bali ni ukakamavu na ushujaa binafsi. Itawachukua miezi kama si miaka kuiteka Dar!!
Kwa hiyo dogo tulia! Vita ni vita! Hivi hujasikia jinsi amb avyo Marekani alifanywa huko Vietnum na Somalia?? Mzee mzima alikimbia kwa aibu!! Hivi Marekani amekaa Afghanistani kwa miaka mingapi? Je amefanikiwa kuwashinda Taleban? Vita vya mitaani ni habari nyingine!! Si ukosefu wa nguvu kwa upande wa Urusi bali Utu unamzuia kushambulia mji kwa nguvu zote ili kukwepa maangamizi ya raia. Kwani wangeamua kusambaratisha Kiev iwe majivu kwa siku moja wangeshindwa? Utu hauwaruhusu wafanye hivyo.
 
Kama ni hivyo mbona ni rahisi sana. Kama nchi nzima na jeshi lote la nchi limejikusanya kyiv,inachotakiwa hapo ni kuwazunguka na kufunga njia zote za kuingia mjini. Njaa ikiwashika lazima watatoa kichwa tu kama kobe.
Rais wa Ukrine ni Mwi Isarel! Israel ata siku moja awawezi mwacha mwenzao azalilike- hapa Urusi inapigana na Ukraine+Israel na NATO allies na Israel ni mwana Vita Urusi inaweza poteza vita hivi(Israel ni invisible ila yupo na anawashughulikia haswa)
 
Rais wa Ukrine ni Mwi Isarel! Israel ata siku moja awawezi mwacha mwenzao azalilike- hapa Urusi inapigana na Ukraine+Israel na NATO allies na Israel ni mwana Vita Urusi inaweza poteza vita hivi(Israel ni invisible ila yupo na anawashughulikia haswa)
Ila sisi tupo bongo lakini🤔
 
Yuko sahihi brother, anasubiri NATO wasongeze pua, uone atakachofanya , Borisi katuma wanajeshi waje kusaidia UKREIN, sasa na yeye kashawambia atakaesogeza pua atapata ambacho hajawahi kukipata maishani, na sasa waje Frontline awanyoshe.
Muda utaongea.
 
vifaru vimeisha mafuta njiani.wanaenda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…