kilamuruzi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,232
- 1,075
Mkuu wameushamliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue sio kuteka nchi au miji,bali kufanya mapinduzi yenye afya na utu kwa Wakomonist wote wa Ukraine.Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
Na hivi wamewapa raia silaha kulinda nchi yao basi itakua vita ya kuviziana mtaa kwa mtaa.Russia waangalie wako kwenye hatari kubwa sana kwani kinachofuata wanajeshi wa Ukraine watavua magwanda na kuvaa kiraia sasa hapo ndipo wataanza "Guerrilla Warfare" na ndio itakuwa kyama kwa warusi na nimemsikia Putin akiongea asubuhi ya leo inaonekana wana hofu na hiyo mbinu.
No army on earth, however sophisticated it is, that can prevail against a Guerrilla Force, Russia won't be exception.
😆😆 Kwa hiyo unachotaka kuaminisha ni kwamba Russia atashindwa kuingia kyiv?Huko unakowazunguka ni wapi, mbona unaongea vitu vya movie, huu hapa ni uhalsia sio movie, hebu waza wavamizi wa nchi jirani kuja kuizunguka Dar kwa nia ya kupambana na Watanzania, sio kupambana dhidi ya JWTZ, ila Watanzania, vijana, wazee, akina bibi, watu wote wanaoijua nchi yao, hiyo Dar unaanza kuizunguka kuanzia wapi, Kibaha??? Mlandizi?? kumbuka uko ugenini unatakwa upigane na hao kwenye mitaa yao, vijiwe vyao, vitongoji vyao....ukimbizane nao Mbagalla, mara Buza, Tandale...mitaa ambayo wao hata wakifumba macho usiku wanajua vichochoro vyote...mbona wavamizi watakufa wengi sana.
Vita vya baina ya wanajeshi sawa, lakini sio pale unalazamika kupambana na wananchi, tena wananchi ambao hawakutaki kwenye muungano unaotaka kulazimisha, watu watajitoa mhanga na mauaji yatakua ya kimbari....Putin kwenye hili linamchanganya maana hawezi kugeuza na pia kuingia ndani imekua mtihani. Hata Mchina aliyekua anamtia mzuka ameshapiga kimya.
Picha kama hii hapa chini zimeanza kusambazwa kwenye mitandao, viijana wakiona hivi wanaingiwa na mzuka na mihemko maana haiwaingii akilini kuikimbia nchi waache akina bibi zao ndio waipiganie...
![]()
atakutana mara ngapi?😆😆 Kwa hiyo unachotaka kuaminisha ni kwamba Russia atashindwa kuingia kyiv?
😆😆 Kwa hiyo unachotaka kuaminisha ni kwamba Russia atashindwa kuingia kyiv?
Sio kila shabaha inakua 100% precise.Mkuu sio kweli,clip tunazoziona wale raia wakirushwa na mabovu na majumba kubomolewa unasemaje ?
Bomu linakawaida ya kuexplode mkuu.Sio kila shabaha inakua 100% precise.
Kwani umempa uraia wa marekani🤔Tulia we mmarekani wacha watu wapo kwenye mission
Kwa nn unaforce kaa utulie
Sijui kama wewe ni mtoto, kijana au mtu mzima! Naomba nikuulize wakati wa vita ya Marekani , Uingereza, Ufaransa na wadau wao wa NATO walipovamia Iraq ya Sadam Hussein ulikuwa na umri gani? Je walichukua miezi mingapi kumshinda Sadam Hussein na kuteka mji mkuu wake? Pamoja na kuwa yalikuwa ni mataifa mengi yaliyovamia Iraq, na kuwatumia pia waasi wa Iraq yaani waislam wa Shia, lakini iliwachukua miezi mingi sana kuangusha Utawala wa Sadam Hussein. Je hapo useme Marekani, Uingereza , Ufaransa nk kadhalika hawana nguvu kivile?Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
Rais wa Ukrine ni Mwi Isarel! Israel ata siku moja awawezi mwacha mwenzao azalilike- hapa Urusi inapigana na Ukraine+Israel na NATO allies na Israel ni mwana Vita Urusi inaweza poteza vita hivi(Israel ni invisible ila yupo na anawashughulikia haswa)Kama ni hivyo mbona ni rahisi sana. Kama nchi nzima na jeshi lote la nchi limejikusanya kyiv,inachotakiwa hapo ni kuwazunguka na kufunga njia zote za kuingia mjini. Njaa ikiwashika lazima watatoa kichwa tu kama kobe.
Yuko sahihi brother, anasubiri NATO wasongeze pua, uone atakachofanya , Borisi katuma wanajeshi waje kusaidia UKREIN, sasa na yeye kashawambia atakaesogeza pua atapata ambacho hajawahi kukipata maishani, na sasa waje Frontline awanyoshe.
Ila sisi tupo bongo lakini🤔Rais wa Ukrine ni Mwi Isarel! Israel ata siku moja awawezi mwacha mwenzao azalilike- hapa Urusi inapigana na Ukraine+Israel na NATO allies na Israel ni mwana Vita Urusi inaweza poteza vita hivi(Israel ni invisible ila yupo na anawashughulikia haswa)
Muda utaongea.Yuko sahihi brother, anasubiri NATO wasongeze pua, uone atakachofanya , Borisi katuma wanajeshi waje kusaidia UKREIN, sasa na yeye kashawambia atakaesogeza pua atapata ambacho hajawahi kukipata maishani, na sasa waje Frontline awanyoshe.
.... Ndio maana yake.Na hivi wamewapa raia silaha kulinda nchi yao basi itakua vita ya kuviziana mtaa kwa mtaa.
vifaru vimeisha mafuta njiani.wanaenda tu.Wataalam wa infant wanadai nchi yeyote kuingia na kutwaa ardhi ni kazi ngumu sana.
Malengo ya kwenye majimbo yametimia.
Ila lengo la kuiinhia kiev sijaelewa wanataka nini?
Na urahisi ule wa kuingia ilipaswa machake yawacheze.
Anga way wayHudi wanaju wanatupeleka wapi sisi waafrica tushabikie tu kwa jicho la russia na USA .
Aibu sana hii,sasa hapo ndio angepigana na NATO au Marekani kama wale pro Putin wanavyosemaga hapa ingekuwaje?vifaru vimeisha mafuta njiani.wanaenda tu.
Nasikia wametoa vibao vyote vya barabarani kuonyesha njia ipi unafika wapi, majamaa wamebaki yakidhurura dhurura mpaka yanaviziwa na kupigwa ambush.haha nacheka tu.Aibu sana hii,sasa hapo ndio angepigana na NATO au Marekani kama wale pro Putin wanavyosemaga hapa ingekuwaje?