Iraq ipi unayoiongelea? Combat war kati ya Marekani na Iraq haikuzidi siku 21 Marekani akawa every where nchini Iraq na ndani ya hizo siku Saddam alikuwa kashajificha. Kilichowauwa wanajeshi wengi wa Marekani baada ya combat war ni suicide missions na road side bombs.Kama huna ufahamu na kitu bora ukakaa kimya utaonekana una akili.
Vita sio kitu rahisi kama ww unavyo fikiria.
Marekani alitumia miezi kufika mji mkuu wa Iraq.
Urusi katumia siku 2 kufika mji mkuu wa Ukraine bado tu hujaona nguvu ya Urusi.
Je alikuwa marekani peke yake? Je raia wangapi waliuawa na mpaka sasa Ukraine raia wangapi wameuawa within the same period of time? Aina gani ya silaha zilitumiwa na sasa urusi anamtumia silaha gani? Unadhani flamethrower zingerushwa Kiev ungeona wa Ukraine wanajiselfie na ak47?Je malengo ya vita vya Iraq na Ukraine ni sawa? Je kulikuwa na mahusiano yoyote ya kihistoria ya kindugu kati ya raia wa Iraq na marekani na vipi Kwa Ukraine na Russia? Eg baadhi ya oligarch wa urusi wamezaliwa Ukraine na ndio mabilionea huko urusi, ni sawa na mwaka itokee Tanzania bara inapigana na Zanzibar unadhani kutakuwa na morale kama ikitokea Tanzania bara anapigana Burundi? Ukiondoa unafiki wa US na NATO, Russia na Ukraine wasingepigana ni sawa na Finland amepakana na urusi mpaka wa zaidi ya 1600km ila ameamua kuwa neutral mbona hana uhasama na yoyote?Iraq ipi unayoiongelea? Combat war kati ya Marekani na Iraq haikuzidi siku 21 Marekani akawa every where nchini Iraq na ndani ya hizo siku Saddam alikuwa kashajificha. Kilichowauwa wanajeshi wengi wa Marekani baada ya combat war ni suicide missions na road side bombs.
Mshalipua nuclear au bado [emoji38][emoji38]Ndiyo hivyo nyie team USA ni majuha kuichukulia Russia poa
Vipi bado mko kwenye mission?Tulia we mmarekani wacha watu wapo kwenye mission
Kwa nn unaforce kaa utulie
Nmesomea urusi , states Dominican school, miaka 6 tukahamia Ukraine nikasoma miaka 4, kwasaaa npo mwnza for really urusi inajesh zto but niwazi Ukraine nao sio mnavodhan wanyonge, kyv ni mji ulio na ulinz mkal na had sasa na badae mrusi haez fka Ukraine 😲Jama kasha fika Kiev tangu jana saa 11 za jioni, anacho subiria ni amri kutoka kwa Amiri jeshi mkuu kumsaka kiongozi mkuu wa Ukuraini kwa gharama yoyote, tayari walisha wa omba wanajeshi wa Ukuraini wapindue huyu Raisi wao wenyewe ili kupunguza maafa ya raia,
Sibishani na Shoga mimiHuna akili wewe, vipo wazi kwa nani?? Mbona hawatangazi wanajeshi wangapi wa UKRAINE waliokufa kama kuna uwazi??
Kiko wapi leo hii?Tulia we mmarekani wacha watu wapo kwenye mission
Kwa nn unaforce kaa utulie
Nn tenaKiko wapi leo hii?
Kiko wapi leo hii?
Hivi uko serious kweli?Elimu ya Russia ambayo inawatoa wanasayansi wa kila Aina.Urusi elimu Yake ni Bora sana.Nadhani pro russia au pro putin, mmmesikia " fake News" toka Ukrain kwamba cruise missiles 4 zimedunguliwa. Ngoma inogile.
Kinachoniuzi mimi ni unafiki wa putin kujidai mzalendo kindakindaki wa nchi na mkombozi wa wanyonge na kukandia saaaana WEST kumbe Dimitry Peskov msemaji wake mkuu mke wake na binti yake aliyepigwa vikwazo wanakula bata ulaya vibaya sana na wamesoma huko huko.
Binti yake anasikitika sasa hawexi kusafiri, yuko sana insta Elizaveta Peskova.
Na waziri wa nchi Lavrov binti yake badala ya kusoma St.Petersburg na Moscow, kampeleka mwanae US na UK vyuo vikuu.
Lakini kwa kukandia WEST ni hatari hawa watu.
Yaani watu wenye hela ndefu wote wamewekeza kwa hao hao wanaowakandia.
Putin anajifany kama haoni n hajui hii sumu ya unafiki wa ain hii wameisambaza sana Afrika huku kwa viongozi wetu.
Hivi uko serious kweli?Elimu ya Russia ambayo inawatoa wanasayansi wa kila Aina.Urusi elimu Yake ni Bora sana.
Supa-pawa katia aibu mno...Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
Russia haina mwanajeshi wake hata mmoja ukraine, wanaopigana ni wanamgambo wenye mafunzo ya wiki 2 ama 3 akijua kulipua na shabaha mengine utajifunzia frontlineKama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
Nani kakudanganya,hao wenye vyeo vya juu kijeshi wanaokufa,ni lini wamekuwa wanamgambo?.Russia haina mwanajeshi wake hata mmoja ukraine, wanaopigana ni wanamgambo wenye mafunzo ya wiki 2 ama 3 akijua kulipua na shabaha mengine utajifunzia frontline
... kuna overseers humu! What they oversaw have happened exactly as per their oversights.Huu uzi nimeutafuta siku nyingi, nilidhani uliunganishwa, ha ha h! Kiev ilishindikana.
Hatujasikia askari yeyote wa Nato ameuawa au hata kutekwa na Russia nchini Ukraine na kama ni silaha hata Tanzania kwenye vita vyake na Uganda 1978/1979 walitumia silaha za wengine kwani hakuna iliyotengenezwa Tanzania.Loo! Hivi wewe uko dunia ipi? Yaani ina maana hujui Russia inapigana na NATO ndani ya Ukraine? Afadhari ungesema pamoja na silaha zote zilizotolewa na US n NATO bado hawaijaitoa Russia ndani ya mipaka ya Ukraine?