Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Kama huna ufahamu na kitu bora ukakaa kimya utaonekana una akili.

Vita sio kitu rahisi kama ww unavyo fikiria.

Marekani alitumia miezi kufika mji mkuu wa Iraq.

Urusi katumia siku 2 kufika mji mkuu wa Ukraine bado tu hujaona nguvu ya Urusi.
Iraq ipi unayoiongelea? Combat war kati ya Marekani na Iraq haikuzidi siku 21 Marekani akawa every where nchini Iraq na ndani ya hizo siku Saddam alikuwa kashajificha. Kilichowauwa wanajeshi wengi wa Marekani baada ya combat war ni suicide missions na road side bombs.
 
Je alikuwa marekani peke yake? Je raia wangapi waliuawa na mpaka sasa Ukraine raia wangapi wameuawa within the same period of time? Aina gani ya silaha zilitumiwa na sasa urusi anamtumia silaha gani? Unadhani flamethrower zingerushwa Kiev ungeona wa Ukraine wanajiselfie na ak47?Je malengo ya vita vya Iraq na Ukraine ni sawa? Je kulikuwa na mahusiano yoyote ya kihistoria ya kindugu kati ya raia wa Iraq na marekani na vipi Kwa Ukraine na Russia? Eg baadhi ya oligarch wa urusi wamezaliwa Ukraine na ndio mabilionea huko urusi, ni sawa na mwaka itokee Tanzania bara inapigana na Zanzibar unadhani kutakuwa na morale kama ikitokea Tanzania bara anapigana Burundi? Ukiondoa unafiki wa US na NATO, Russia na Ukraine wasingepigana ni sawa na Finland amepakana na urusi mpaka wa zaidi ya 1600km ila ameamua kuwa neutral mbona hana uhasama na yoyote?
We subiri uone mgeni aingie ndio utaziona siraha za maana
 
Jama kasha fika Kiev tangu jana saa 11 za jioni, anacho subiria ni amri kutoka kwa Amiri jeshi mkuu kumsaka kiongozi mkuu wa Ukuraini kwa gharama yoyote, tayari walisha wa omba wanajeshi wa Ukuraini wapindue huyu Raisi wao wenyewe ili kupunguza maafa ya raia,
Nmesomea urusi , states Dominican school, miaka 6 tukahamia Ukraine nikasoma miaka 4, kwasaaa npo mwnza for really urusi inajesh zto but niwazi Ukraine nao sio mnavodhan wanyonge, kyv ni mji ulio na ulinz mkal na had sasa na badae mrusi haez fka Ukraine 😲
 
Na jana lile meli lilokuwa linarusha cruise missiles limebutuliwa limezama, Putin bingwa wa kubweka vitisho kumbe hamna kitu, hii showdown na ukrain imeonekana uhalisia wa supa pawa russia.

Na sasa US wanampatia rada ya kuzidungua hizo cruise missiles na ku pinpoint zimefyatuliwa wapi in realtime.

Nazani putin anatamani amalize tu ja Nuclear yaishe maana mwezi wa pili unajaa chakujivunia hna ila kubomoa majumba tu na kuua watu na kusema kila kitu ni fake na propaganda za ukrain, utazani wao ndo.wataktifu hawana fake news na propaganda.
 
Nadhani pro russia au pro putin, mmmesikia " fake News" toka Ukrain kwamba cruise missiles 4 zimedunguliwa. Ngoma inogile.

Kinachoniuzi mimi ni unafiki wa putin kujidai mzalendo kindakindaki wa nchi na mkombozi wa wanyonge na kukandia saaaana WEST kumbe Dimitry Peskov msemaji wake mkuu mke wake na binti yake aliyepigwa vikwazo wanakula bata ulaya vibaya sana na wamesoma huko huko.

Binti yake anasikitika sasa hawexi kusafiri, wakati ukweli anaweza safiri kwenda Belarus,Kazakstan, Venezuela North Korea ,Albana.

Tatizo yeye anataka kula bata Paris,New York n.k

yuko sana insta Elizaveta Peskova.

Na waziri wa nchi Lavrov binti yake badala ya kusoma St.Petersburg na Moscow, kampeleka mwanae US na UK vyuo vikuu.

Lakini kwa kukandia WEST ni hatari hawa watu.

Yaani watu wenye hela ndefu wote wamewekeza kwa hao hao wanaowakandia.

Putin anajifany kama haoni n hajui hii sumu ya unafiki wa ain hii wameisambaza sana Afrika huku kwa viongozi wetu.
 
Nadhani pro russia au pro putin, mmmesikia " fake News" toka Ukrain kwamba cruise missiles 4 zimedunguliwa. Ngoma inogile.

Kinachoniuzi mimi ni unafiki wa putin kujidai mzalendo kindakindaki wa nchi na mkombozi wa wanyonge na kukandia saaaana WEST kumbe Dimitry Peskov msemaji wake mkuu mke wake na binti yake aliyepigwa vikwazo wanakula bata ulaya vibaya sana na wamesoma huko huko.

Binti yake anasikitika sasa hawexi kusafiri, yuko sana insta Elizaveta Peskova.

Na waziri wa nchi Lavrov binti yake badala ya kusoma St.Petersburg na Moscow, kampeleka mwanae US na UK vyuo vikuu.

Lakini kwa kukandia WEST ni hatari hawa watu.

Yaani watu wenye hela ndefu wote wamewekeza kwa hao hao wanaowakandia.

Putin anajifany kama haoni n hajui hii sumu ya unafiki wa ain hii wameisambaza sana Afrika huku kwa viongozi wetu.
Hivi uko serious kweli?Elimu ya Russia ambayo inawatoa wanasayansi wa kila Aina.Urusi elimu Yake ni Bora sana.
 
Check between the lines iwe bora au vip watoto wa Dimitry Peskov na Lavrov, Waziri wa Mambo ya nje, wamesoma US Columbia Univ na UK. Huku baba zao wakilaani na kukandia maisha na utamaduni na kila kitu cha West.

Huku hotuba yake ya hivi karibuni Putin akikandia kwamba wanafiki huko Russia wanapenda maisha na mambo ya west yeye akisema wanadhani kule west kuna " Higher Life", hivyo kujiona tofauti na wenzao warusi.

Maana yangu hapo ni kwamba wasaidizi wake wa karibu ndio wasaliti wa kwanza anazuga kwamba haoni

Mbona huyo mke wake Peskov alipost kwenye media Not to War ingawa aliifuta baadae hawajamfanya lolote, wengine wanaburutwa ile mbaya kwa post kama hizo hizo.
Putin ni mnafiki namba wani. Sasa hivi anakuwa kama yule King aliyekuwa uchi wanyama akidhani amevaa nguo za bei mbaya.

Hata mi najua kwa Physics mrussi ni hatari wamenifundisha, ila uchumi na life kwa ujumla huwezi kulinganisha na WEST.

Ndio maana Peskova anakula bata Switzerland, Paris, belgium n.k na anasema anaonewa, anasahau dingi wake ni mnafiki namba 2 baada ya putin
Hivi uko serious kweli?Elimu ya Russia ambayo inawatoa wanasayansi wa kila Aina.Urusi elimu Yake ni Bora sana.
 
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.

Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.

Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.

Ama kweli actions speak louder than words.
Supa-pawa katia aibu mno...
 
Loo! Hivi wewe uko dunia ipi? Yaani ina maana hujui Russia inapigana na NATO ndani ya Ukraine? Afadhari ungesema pamoja na silaha zote zilizotolewa na US n NATO bado hawaijaitoa Russia ndani ya mipaka ya Ukraine?
 
Russia haina mwanajeshi wake hata mmoja ukraine, wanaopigana ni wanamgambo wenye mafunzo ya wiki 2 ama 3 akijua kulipua na shabaha mengine utajifunzia frontline
 
Loo! Hivi wewe uko dunia ipi? Yaani ina maana hujui Russia inapigana na NATO ndani ya Ukraine? Afadhari ungesema pamoja na silaha zote zilizotolewa na US n NATO bado hawaijaitoa Russia ndani ya mipaka ya Ukraine?
Hatujasikia askari yeyote wa Nato ameuawa au hata kutekwa na Russia nchini Ukraine na kama ni silaha hata Tanzania kwenye vita vyake na Uganda 1978/1979 walitumia silaha za wengine kwani hakuna iliyotengenezwa Tanzania.

Hivyo Russia waache visingizio kwamba wanapigana na Nato yeye akubali tu ngoma ngumu na kama anataka historia yake iandikwe upya basi atupe hata jiwe tu kwenye ardhi ya mwanachama yeyote wa Nato.
 
Back
Top Bottom