Nadhani pro russia au pro putin, mmmesikia " fake News" toka Ukrain kwamba cruise missiles 4 zimedunguliwa. Ngoma inogile.
Kinachoniuzi mimi ni unafiki wa putin kujidai mzalendo kindakindaki wa nchi na mkombozi wa wanyonge na kukandia saaaana WEST kumbe Dimitry Peskov msemaji wake mkuu mke wake na binti yake aliyepigwa vikwazo wanakula bata ulaya vibaya sana na wamesoma huko huko.
Binti yake anasikitika sasa hawexi kusafiri, yuko sana insta Elizaveta Peskova.
Na waziri wa nchi Lavrov binti yake badala ya kusoma St.Petersburg na Moscow, kampeleka mwanae US na UK vyuo vikuu.
Lakini kwa kukandia WEST ni hatari hawa watu.
Yaani watu wenye hela ndefu wote wamewekeza kwa hao hao wanaowakandia.
Putin anajifany kama haoni n hajui hii sumu ya unafiki wa ain hii wameisambaza sana Afrika huku kwa viongozi wetu.