Tatizo unawaza like it's some kind of a movie yaan ichukue siku moja kitu ambacho hakiwezekani maana Russia wanafnya kwa Operations hawataki Ku course mass destruction na huwezi kufanikiwa kirahisi hvo kama na mwenzako anafanya resistanceKama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
Mi nahisi wanajeshi wa Urusi hawajaipenda hii misheni. Wanafanya kishingo upande Ndio maana wanapigwa angani na Ardhini.Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
Marekani hajawahi kupigana Tripoli.marekani na vibaraka wake iliwachukua siku ngapi kuingia tripoli kumuondoa muamar gadafi?.
AntonovHili dude lilikuwa chini ya ukraini lakini muda huu limetekwa na urusi
View attachment 2131506
Kweli kabisasawa kabisa anadhani ni URUSI ni kama shetani marekani yeye anaua tu RAIA hovyo
na JESHI la UKRAINE lishajua UDHAIFU wa URUSI ni kutopiga kabisa walipo RAIA na linatumia MWANYA Huo kujilinda nyuma ya raia na sometime ambush
wataalamu watakuelezea hapa kwamba vita vya mjini (urban warfare) sio jambo la kukurupuka tu vinginevyo utapoteza mamia kwa mamia ya askari wako kutoka kwa wadunguaji (snipers) waliojificha kwenye maghorofa mjini. na ndoo maana pamoja na kichapo chote iliwachukua marekani wiki tatu kufika Baghdad mjii mkuu wa iraq..vivo hivyo kwa afghanstan na maeneo mengine..Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
Na pia Ukraine Ina viwanda vya silaha na inauza njeUtakuwa hujui nguvu za kivita za Ukraine wewe.
Unafananisha Iraq ambae alikuwa mkiwa (katengwa na dunia) asiye na silaha nzito za kivita na Ukraine ambaye amekuwa akilundikiwa misilaha ya US+NATO kwenye ardhi yake
Salary Slip nadhani wewe ni kati ya watu humu JF wanaoonekana ni GREAT THINKER. Ila kwa hili inaonekana umeuza account yako ya JF kama alivyofanya Kigogo wa Twitter.Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] piga huyoKama huna ufahamu na kitu bora ukakaa kimya utaonekana una akili.
Vita sio kitu rahisi kama ww unavyo fikiria.
Marekani alitumia miezi kufika mji mkuu wa Iraq.
Urusi katumia siku 2 kufika mji mkuu wa Ukraine bado tu hujaona nguvu ya Urusi.
Kwani nani ana hatia pale anastahili kuuwawa?Panahitajika uangalifu Kwa sababu inawezekana wakauwawa Watu wasio na hatia, kwahiyo wanaweza wakauzunguka huo mji lakini kuingia pale ikahitajika hesabu Kali zaidi ili kuepusha maafa na umwagaji wa damu.
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
Huyu Salary yupo kama yule waziri wa habari wa Saddam. Jamaa alikuwaga anadai kwenye press conference zake kuwa Wamarekani hawajaingia Baghdad ilhali vifaru vya Marekani vinajivinjari katikati ya Baghdad na watu wanaona kwenye runinga 🤣🤣🤣Salary Slip nadhani wewe ni kati ya watu humu JF wanaoonekana ni GREAT THINKER. Ila kwa hili inaonekana umeuza account yako ya JF kama alivyofanya Kigogo wa Twitter.
Majeshi ya Russia yamevamia na kuingia Ukraine na kuteka hadi nuclear Plant halafu unasema hana lolote kisa hajaingia Kyev. Yaani ni kama Tz ivamiwe majeshi ya adui yaingie hadi KIBAHA halafu tuseme adui hana uwezo kwasababu hajaingia Dar es salaam.
Mimi ni Pro NATO mwenzako na hata Mimi ninaamini NATO/USA ni superior kuliko Russia na wakiamua kuuanzisha mtiti ni dhahiri Russia haiwezi kustahimili , lakini tuongee vita katika uhalisia.
We faraa kweliNani kakwambia Puttin anajali uhai wa watu zaidi ya kushinda vita?
Iraq alipoteza silaha na jeshi kubwa ktk vita na Iran pia alikuwa katika vikwazo hivo asingeweza kupambana na USA +NATO.Sasa Muiraq nguvu zake unamlinganisha na ukraine?Irag walikua njema sana