Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Mmarekani wa burigi unatafuta kuikosoa urusi kwa kila namna kwani USA + NATO walichukua muda gan kufika Damascuss? Unadhani vita ni kula michembe? Look very u will go and water! Ndani ya siku mbili ameteka the largest powe plant Chernobyl huko Pripyat na pia yupo mji mkuu Kiev bado hukubali? Mbona huwazungumzii US na NATO walosema Putin akithubutu kuishambulia Ukraine atakiona cha MDUMULA NGWAGU mbona kimya hadi leo?
Hebu tulia blaza amuadabishe dogo jeuri.
 
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.

Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.

Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.

Ama kweli actions speak louder than words.
Tatizo unawaza like it's some kind of a movie yaan ichukue siku moja kitu ambacho hakiwezekani maana Russia wanafnya kwa Operations hawataki Ku course mass destruction na huwezi kufanikiwa kirahisi hvo kama na mwenzako anafanya resistance
 
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.

Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.

Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.

Ama kweli actions speak louder than words.
Mi nahisi wanajeshi wa Urusi hawajaipenda hii misheni. Wanafanya kishingo upande Ndio maana wanapigwa angani na Ardhini.
 
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.

Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.

Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.

Ama kweli actions speak louder than words.
wataalamu watakuelezea hapa kwamba vita vya mjini (urban warfare) sio jambo la kukurupuka tu vinginevyo utapoteza mamia kwa mamia ya askari wako kutoka kwa wadunguaji (snipers) waliojificha kwenye maghorofa mjini. na ndoo maana pamoja na kichapo chote iliwachukua marekani wiki tatu kufika Baghdad mjii mkuu wa iraq..vivo hivyo kwa afghanstan na maeneo mengine..
 
Mashambulizi ya ndege za Urusi Near Kyiv last night!! Kwa sasa wameshaingia Kyiv unapigwa msako mkali wa kumkamata raisi
 
Attachments

  • 42ef9ae7c669433fbabd17f09fa70b9f.mp4
    2.3 MB
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.

Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.

Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.

Ama kweli actions speak louder than words.
Salary Slip nadhani wewe ni kati ya watu humu JF wanaoonekana ni GREAT THINKER. Ila kwa hili inaonekana umeuza account yako ya JF kama alivyofanya Kigogo wa Twitter.

Majeshi ya Russia yamevamia na kuingia Ukraine na kuteka hadi nuclear Plant halafu unasema hana lolote kisa hajaingia Kyev. Yaani ni kama Tz ivamiwe majeshi ya adui yaingie hadi KIBAHA halafu tuseme adui hana uwezo kwasababu hajaingia Dar es salaam.

Mimi ni Pro NATO mwenzako na hata Mimi ninaamini NATO/USA ni superior kuliko Russia na wakiamua kuuanzisha mtiti ni dhahiri Russia haiwezi kustahimili , lakini tuongee vita katika uhalisia.
 
Kama huna ufahamu na kitu bora ukakaa kimya utaonekana una akili.

Vita sio kitu rahisi kama ww unavyo fikiria.

Marekani alitumia miezi kufika mji mkuu wa Iraq.

Urusi katumia siku 2 kufika mji mkuu wa Ukraine bado tu hujaona nguvu ya Urusi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] piga huyo
 
IMG_3800.jpg
 
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.

Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.

Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.

Ama kweli actions speak louder than words.

waturuki nawaona kama wasomali !. kuna kipindi wasomali walitakiwa kuvamiwa na USA ilikuwa aibu
 
Salary Slip nadhani wewe ni kati ya watu humu JF wanaoonekana ni GREAT THINKER. Ila kwa hili inaonekana umeuza account yako ya JF kama alivyofanya Kigogo wa Twitter.

Majeshi ya Russia yamevamia na kuingia Ukraine na kuteka hadi nuclear Plant halafu unasema hana lolote kisa hajaingia Kyev. Yaani ni kama Tz ivamiwe majeshi ya adui yaingie hadi KIBAHA halafu tuseme adui hana uwezo kwasababu hajaingia Dar es salaam.

Mimi ni Pro NATO mwenzako na hata Mimi ninaamini NATO/USA ni superior kuliko Russia na wakiamua kuuanzisha mtiti ni dhahiri Russia haiwezi kustahimili , lakini tuongee vita katika uhalisia.
Huyu Salary yupo kama yule waziri wa habari wa Saddam. Jamaa alikuwaga anadai kwenye press conference zake kuwa Wamarekani hawajaingia Baghdad ilhali vifaru vya Marekani vinajivinjari katikati ya Baghdad na watu wanaona kwenye runinga 🤣🤣🤣

Sasa Muiraq nguvu zake unamlinganisha na ukraine?Irag walikua njema sana
Iraq alipoteza silaha na jeshi kubwa ktk vita na Iran pia alikuwa katika vikwazo hivo asingeweza kupambana na USA +NATO.
Tofauti na Ukraine ambaye anapokea msaada WA mafunzo na silaha sophisticated from US +NATO
 
Back
Top Bottom