Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Mie imenishangaza sana urusi, yaani pa pa pa tayari wameufikia mji mkuu! Hii siyo vita ni mbabe kuiteka nchi! Hivi raise wa Ukraine ni Teja kweli nini, unaanzaje kutunishiana misuli na urusi kweli kama uwezo wako ni ndogo kiasi hicho! Na hauna Sir God to back you up! Ni kuingiza maisha ya watu wasiokuwa na hatia matatani!
 
Halafu wakishateka Kyiv Putin atasema hakuna mwanajeshi wa Russia aliyepoteza maisha wala vifaa vyake kubomolew, hataki kabisa Ukraine wapate misaada ya kijeshi halafu anajisifia kushinda vita kiulainiiii.
 
Uzi uunganishwe tu zote za hii bita

Hakuna mjadala mpya humu
 
Anga like wazi,
Waambie NATO walete pua zao Ukraine waone kutakachowapata[emoji2]
 
Tatizo unawaza like it's some kind of a movie yaan ichukue siku moja kitu ambacho hakiwezekani maana Russia wanafnya kwa Operations hawataki Ku course mass destruction na huwezi kufanikiwa kirahisi hvo kama na mwenzako anafanya resistance
Kuna mtaalam mmoja nilikuwa namsikiliza hapa anasema hakuna kazi kubwa kama kuingia nchini kwa adui huku yeye akikusubiri. Mpaka mnafanikiwa lazima mfe sana.
 
Ndugu zenu Wame ishiwa mafuta na vyakula uko ndo shida ya kwenda mtupu ugenini
 
Raia wa russia anasema ana ndugu zake Eukrain, kama akipata nafasi ya kuongea nao hajui atawaambia nini😔
 
Kwa akili za kushabikia CHADEMA huku unashabikia Urusi kwann tusiuane maana hatujielew na wazungu wanajazia kdg tu , Russia na Ccm ni damu damu
 
BREAKING NEWS.

Bulgaria,Canada na Uingereza zimefunga Anga lao kwa ndege zote za Urusi.

Ufaransa inatuma Siraha za kivita Ukraine.

White House imeomba kibali kwa Bunge la Congress kutoa msaada wa $ 6.4B kwa ajili ya msaada wa kijeshi kwa Ukraine.

Chakushangaza,Uturuki imesema haitazuia Meli za Jeshi la Urusi kupita Actic Bay inayodhibitiwa na Uturuki kuelekea Black Sea.

Marafiki wakweli huonekana wakati wa Shida. Uturuki na Ujerumani sioni haja yao kuwa NATO make walishawekwa kwenye Mfuko wa Russia.

Hapa,Naona Russia akichelewa kuiteka Kiev Kabla ya J3 atapata Shida kubwa Sana. Anatakiwa kuuteka mji Mkuu Kabla ya mda huo make Nchi Nyingi zilizokuwa Kimya Sasa Zimeanza kuonesha ukinzani kwa Urusi.

Ikumbukwe kuwa,Ukraine inahitaji Siraha TU za Kujilinda dhidi ya Vifaru na Ndege za Urusi. Make Haina Uwezo wa Kuishambulia Urusi.

Baadi ya Wanajeshi wa Urusi wametekwa kwenye Picha hapo Chini.
 
Wkt Fulani wa ccm ya magufuli polepole alikuwa na propaganda za eti uzalendo,

Ninavyoona wa Ukraine wanavyolala mbele najiuliza ule uzalendo wa polepole ungekuaje kama tungeingia vitani
 
Yaan Vijana wa Kitanzania bana ! Hivi mnadhani vita ni mchezo ? Mpaka sasa Ukraine kashasambaratishwa sana! na miji mingi ipo mikononi mwa Urusi, wanamgambo imebaki Kiev tu ambayo mashambulizi ni makubwa. Jeshi la Ukraine limeweka nguvu 100% hapo Kiev
 

Fake propaganda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…