Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Hadi vita iishe Ukraine itakuwa na silaha za kutishia zilizo telekezwa na warussi
Screenshot_2022-02-26-16-45-05-427_com.instagram.android.jpg
 
Kinachonifurahisha Russia anatumia silaha za enzi za Soviet ambazo zingehitaji gharama kubwa kuzifanyia disposal , so hajaingia hasara kutumia new weapons
Na hii je?imeachwa na wenyewe wame kimbia afu kipigo ni kipigo tu.msha Anza utetez wa ajabu ?badae mtaanza kusema alipigwa Kwa sababu hakutumia nuklia
Screenshot_2022-02-25-19-41-58-356_com.instagram.android.jpg
 
Yaan Vijana wa Kitanzania bana ! Hivi mnadhani vita ni mchezo ? Mpaka sasa Ukraine kashasambaratishwa sana! na miji mingi ipo mikononi mwa Urusi, wanamgambo imebaki Kiev tu ambayo mashambulizi ni makubwa. Jeshi la Ukraine limeweka nguvu 100% hapo Kiev
Kuelekea mpaka kesho huu mji utakuwa mikononi mwa Urusi
 
Kwa Kweli shughuli pale Ukraine bado ni pevu! Ukraine imekataa kusalender kirahisi.
Tunavyozungumza sasa kuna taarifa zisizo rasmi kuwa Jeshi la Russia linapata upinzania usiokuwa wa kawaida kuuteka mji Mkuu Kiev.
Na inasemekana askari 3,500 wa Russia wameuawa,na wengine wamtekwa,ndege 14 zimetunguliwa na zana nyingi kuharibiwa!
Tayari US ameshaidhinisha msaada wa kijeshi wa mamilioni,Ufaransa imeahidi kupeleka zana za kivita kuisaidia Ukraine.
Hii vita haiwezi kuisha kirahisi na huenda isiishie Ukraine tu.
 
They seize the banks USA hana transaction na watu wa Russia hawawezi kupokea pesa au kutoa
Hujaelewa na huna uelewa wa mambo ya kifedha, huwezi kutoa pesa kutoka wapi?? Wao wamezuiliwa kufanya international transction only na sio kila nchi imekubali, Ujerumani, India, China wao hawakubaliani na hilo. Una uelewa mdogo sana wa mambo.
 
sawa kabisa anadhani ni URUSI ni kama shetani marekani yeye anaua tu RAIA hovyo
na JESHI la UKRAINE lishajua UDHAIFU wa URUSI ni kutopiga kabisa walipo RAIA na linatumia MWANYA Huo kujilinda nyuma ya raia na sometime ambush
Russia wame zidiwa hadi wa tumia ballistic missile Kwa Ukraine ?kuhusu makazi ni uwongo jamaa wa rusha makombala hovyo picha hapo chini apartment Ukraine iliyo pigwa na ballistic missile ya Urussi .
Screenshot_2022-02-26-17-04-01-780_com.instagram.android.jpg
 
Russia wame zidiwa hadi wa tumia ballistic missile Kwa Ukraine ?kuhusu makazi ni uwongo jamaa wa rusha makombala hovyo picha hapo chini apartment Ukraine iliyo pigwa na ballistic missile ya Urussi .View attachment 2132036
Acha mahaba amezidiwa wakati yupo Kiev tayari au we ndio umezidiwa na misaada ya Marekani
 
Hujaelewa na huna uelewa wa mambo ya kifedha, huwezi kutoa pesa kutoka wapi?? Wao wamezuiliwa kufanya international transction only na sio kila nchi imekubali, Ujerumani, India, China wao hawakubaliani na hilo. Una uelewa mdogo sana wa mambo.
Mkuu katika hali kama hii "Officials in Washington added VTB, Otkritie, Novikombank and Sovcombank to the Specially Designated Nationals (SDN) list. The move effectively kicks the banks out of the US financial system, bans their trade with Americans, and freezes their US assets.We will limit Russia’s ability to be part of the global economy. We will stunt their ability to finance and grow Russia’s military. We will impair their ability to compete in a high-tech, 21st century economy. Bado huyo Russia anaweza kuwa na financial services access (kutoa pesa ikiwemo) kama ilivyokuwa hapo kabla vita haijaanza? kumbuka hapo bado hajatandikwa rungu la kuwa banned kwenye swift .
 
Russia anapigana na majeshi kibao tu huko Ukraine. NATO wameingia wakajichanganya na majeshi ya serikali ya Ukraine. Vinginevyo ingekuwa rahisi tu. si unaona ni kama NATO hawajali, ni kwamba wamevaa combat ya Ukraine
 
Back
Top Bottom