Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Iraq alipoteza silaha na jeshi kubwa ktk vita na Iran pia alikuwa katika vikwazo hivo asingeweza kupambana na USA +NATO.
Tofauti na Ukraine ambaye anapokea msaada WA mafunzo na silaha sophisticated from US +NATO
Sawa mchambuzi wa masuala ya kivita wa kwenye keyboard huko mbagala.
😂😂😂😂😂

Wabongo hua mmejaaliwa kujua kila kitu duniani.
 
Utakuwa hujui nguvu za kivita za Ukraine wewe.

Unafananisha Iraq ambae alikuwa mkiwa (katengwa na dunia) asiye na silaha nzito za kivita na Ukraine ambaye amekuwa akilundikiwa misilaha ya US+NATO kwenye ardhi yake
Tena si silaha tu bali hadi teknolojia zinazosemekana zina uwezo hata wa kuzuia mabomu kutua toka angani na kushuka hapo Kyviv
 
Kuamini Urusi anaweza kuishinda NATO kwenye vita ni matumizi mabaya ya akili. Russia ni overrated, Ukraine angekuwa na mfumo mzuri wa air defense ni wazi Russia asingetoboa. Kwa namna Urusi alivyopanga majeshi yake tena kwa kushirikiana na Belarus niliamini ingekuwa vita ya siku 2. Ingawa Urusi anaweza kuangusha majengo na kuteka miji, vita inahamia mtaani, na hii ndio vita ngumu zaidi.
Urusi hataki kuangusha majengo. Unadhani angekuwa anaangusha majengo KIEV ingekuwaje leo hii??
 
tayari wameingia mjia mkuu muda wowote wataliamsha dude hapa wanataka kumtia king mmarekani ashobokee dundo
 
Kama huna ufahamu na kitu bora ukakaa kimya utaonekana una akili.

Vita sio kitu rahisi kama ww unavyo fikiria.

Marekani alitumia miezi kufika mji mkuu wa Iraq.

Urusi katumia siku 2 kufika mji mkuu wa Ukraine bado tu hujaona nguvu ya Urusi.
Ukraine ni kainchi kadogo huwezi kulinganisha na Iraq
 
Kama huna ufahamu na kitu bora ukakaa kimya utaonekana una akili.

Vita sio kitu rahisi kama ww unavyo fikiria.

Marekani alitumia miezi kufika mji mkuu wa Iraq.

Urusi katumia siku 2 kufika mji mkuu wa Ukraine bado tu hujaona nguvu ya Urusi.
Nguvu aliyoitumia marekani na nato kule Iraq sio ya mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa hujui nguvu za kivita za Ukraine wewe.

Unafananisha Iraq ambae alikuwa mkiwa (katengwa na dunia) asiye na silaha nzito za kivita na Ukraine ambaye amekuwa akilundikiwa misilaha ya US+NATO kwenye ardhi yake
Stats muhimu za Jeshi la Iraq
-Wanajeshi 300,000 mpaka 350,000
-Vifaru kama 2000
-Hellcopter 350 (80 zipo Armed)
-850 Air missile
-4000 surface Guns (Anticraft)
Source

Ikumbukwe Wakati Usa anavamia Iraq jamaa walikuwa Hoi sababu waliwekewa vikwazo miaka 10 mfululizo toka vita vya 1991 baina ya Bush baba na Sadam. Mfano kwenye Vita vya 1991 Iraq walikuwa na Vifaru 5500 ila vita vya 2003 walikuwa na Vifaru 2000 tu.

Stats muhimu za Jeshi la Ukraine according to Statista
26694.jpeg.jpg

Hivyo Ukraine yupo vizuri kuliko Jeshi la Iraq la 2003.
 
Mashambulizi ya ndege za Urusi Near Kyiv last night!! Kwa sasa wameshaingia Kyiv unapigwa msako mkali wa kumkamata raisi
Ngoja tuiweke kwa uzuri video hiyo ili Wamarekani wa Tandahimba waone jinsi rubani wa Russia alivyoshambilia kisha kupambana kukwepa mvua za mizinga ya wajeda wa Ukraine waliotaka kumdungua...
 
-Mwaka 1955 Wakati Congo ipo Chini ya Ubeligiji
-Baba mmoja wa kizungu Alinunua mtt wa kiafrika na kumuweka kwenye wavu kwajili ya watoto wake kuchezea kama mdoli,.
[emoji26][emoji26] wazungu ni [emoji706][emoji706]
20220226_114025.jpg

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Panahitajika uangalifu Kwa sababu inawezekana wakauwawa Watu wasio na hatia, kwahiyo wanaweza wakauzunguka huo mji lakini kuingia pale ikahitajika hesabu Kali zaidi ili kuepusha maafa na umwagaji wa damu.
Haujui Hilo huyo
 
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.

Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.

Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.

Ama kweli actions speak louder than words.
Wanaume wamebakia wanapigania inchi na Rais wa nchi yupo he is 44 years old .A lot of young people in ukraine wazee wapo Russia .Kila mwanaume ana risasi
 
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.

Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.

Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.

Ama kweli actions speak louder than words.
Halafu Wanasema Putin Eti Akili zake. Si nzuri Sasa Hivi amechanganyikiwa.I ‘m so impressed na zellensky .
 
Stats muhimu za Jeshi la Iraq
-Wanajeshi 300,000 mpaka 350,000
-Vifaru kama 2000
-Hellcopter 350 (80 zipo Armed)
-850 Air missile
-4000 surface Guns (Anticraft)
Source

Ikumbukwe Wakati Usa anavamia Iraq jamaa walikuwa Hoi sababu waliwekewa vikwazo miaka 10 mfululizo toka vita vya 1991 baina ya Bush baba na Sadam. Mfano kwenye Vita vya 1991 Iraq walikuwa na Vifaru 5500 ila vita vya 2003 walikuwa na Vifaru 2000 tu.

Stats muhimu za Jeshi la Ukraine according to Statista
View attachment 2131651
Hivyo Ukraine yupo vizuri kuliko Jeshi la Iraq la 2003.
Asante sana kwa data zilizoshiba
 
Back
Top Bottom