Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Rais wa Ukrine ni Mwi Isarel! Israel ata siku moja awawezi mwacha mwenzao azalilike- hapa Urusi inapigana na Ukraine+Israel na NATO allies na Israel ni mwana Vita Urusi inaweza poteza vita hivi(Israel ni invisible ila yupo na anawashughulikia haswa)
🤣🤣🤣 Du! Watu tumeaminishwa ujinga kweli kwamba mwizrael hawezekani. Ni kwasababu ya kupigana na palestina mara kwa mara? Kuna vina gani kubwa Israel alipigana peke yake bila kusaidiwa na NATO??

Kwani huko urusi hakuna wa Israel kama walivyo Ukraine?
 
Nasikia wametoa vibao vyote vya barabarani kuonyesha njia ipi unafika wapi, majamaa wamebaki yakidhurura dhurura mpaka yanaviziwa na kupigwa ambush.haha nacheka tu.
Yaan Bongo bhana, kwamba hawana ndege??
 
Russia anapigana na majeshi kibao tu huko Ukraine. NATO wameingia wakajichanganya na majeshi ya serikali ya Ukraine. Vinginevyo ingekuwa rahisi tu. si unaona ni kama NATO hawajali, ni kwamba wamevaa combat ya Ukraine
Umewaona ukiwa wapi?
 
Yuko sahihi brother, anasubiri NATO wasongeze pua, uone atakachofanya , Borisi katuma wanajeshi waje kusaidia UKREIN, sasa na yeye kashawambia atakaesogeza pua atapata ambacho hajawahi kukipata maishani, na sasa waje Frontline awanyoshe.
Ukiona hivyo jua maji yamezidi unga Putin kwa sasa itakuwa hapati usingizi.
 
Hata vita ya pili ya dunia walipigana hivihivi hovyohovyo mjerumani aliwaua sana askari wa Urusi
Warusi ni makatili sana wanapigana vita bila uangalifu wanapiga hovyo hovyo tu.
Kwa jinsi wanavyopigana walitakiwa wawe wameshateka magofu ya mji.

Wameonesha udhaifu mkubwa sana.Natamani ningekuwa Ukraine ningeomba silaha nipambane na wapuuzi ha
 
Ukiona hivyo jua maji yamezidi unga Putin kwa sasa itakuwa hapati usingizi.
Anashindwaje kupata usingizi huku anapigwa na AC, Pale Moscow, huku wengine wamejificha kwenye mahandaki, nakuomba raia kutoka nchi yeyote wakawasaidie?.
 
🤣🤣🤣 Du! Watu tumeaminishwa ujinga kweli kwamba mwizrael hawezekani. Ni kwasababu ya kupigana na palestina mara kwa mara? Kuna vina gani kubwa Israel alipigana peke yake bila kusaidiwa na NATO??

Kwani huko urusi hakuna wa Israel kama walivyo Ukraine?
Cheka tu: Kitechnologia Israel wapo juu tena sana! Isarel wapalestina ni kikundi kidogo sana akimpi shida kama Iran na Syria. Isitoshe pia Hao NATO wananunua Silaha toka Israel kila mwaka za mabilion ya Dolla
 
Achana na Propaganda hizo. Yaan Jeshi la Urusi watoke kwao wakiwa na mafuta pungufu.
Usipende kubisha kila kitu mbona vitu vipo wazi hizo tank hata masaa 4 hazimalizi bila kuwa refueld..kwa jinsi walivoenda kichwa kichwa sishangai kuona hadi tank linavutwa na trekta kusonga mbele..
 
Usipende kubisha kila kitu mbona vitu vipo wazi hizo tank hata masaa 4 hazimalizi bila kuwa refueld..kwa jinsi walivoenda kichwa kichwa sishangai kuona hadi tank linavutwa na trekta kusonga mbele..
Huna akili wewe, vipo wazi kwa nani?? Mbona hawatangazi wanajeshi wangapi wa UKRAINE waliokufa kama kuna uwazi??
 
Salary slip njoo utupe mrejesho wa hali ya vita hapo Kiev maana umejitahidi kupotosha mwisho umeamua kukaa kimya. Baada ya operation hiyo mjini Kiev zitaokotwa maiti nyingi za wa ukraine
 
Salary slip njoo utupe mrejesho wa hali ya vita hapo Kiev maana umejitahidi kupotosha mwisho umeamua kukaa kimya. Baada ya operation hiyo mjini Kiev zitaokotwa maiti nyingi za wa ukraine
Hamana lolote zaidi ya makelele. Situation on ground imewawia vigumu na sasa kiburi kimeshuka mpaka kukaa chini kuzungumza na mlioamini ni mnyonge wenu kumbe mlikuwa mnajidanganya.
 
Wakuu oneni hili jinga jinsi lina akili finyu kiasi kwamba halijui madhara ya Ukraine na Urusi war yameshaanza kui affect dunia tayari.

Endelea kusoma hapa chini kichwa maji mweupe wewe. Nimekudharau. Ptuuu mate usoni mshamba.

WATALII TAKRIBAN 1,000 KUTOKA UKRAINE WADAIWA KUKWAMA ZANZIBAR

Leila Mohammed Musa, ambaye ni Waziri wa Utalii #Zanzibar amesema wanapanga kuwapeleka Nchi jirani ya #Poland

Taarifa zaidi zitatolewa pindi Balozi wa Ukraine atakapofika Zanzibar leo

Soma - Watalii wapatao 1000 kutoka Ukraine wadaiwa kukwama Zanzibar
Atakuambia Zanzibar ni mbali, mwambie imebidi Serikali isimamishe kodi ya shillingi mia kwa kila lita ya bidhaa za petroli kutokana na bei ya petroli kupanda kufuatia hivi vita vya Ukraine versus Russia.
 
Back
Top Bottom