š¤£š¤£š¤£ Du! Watu tumeaminishwa ujinga kweli kwamba mwizrael hawezekani. Ni kwasababu ya kupigana na palestina mara kwa mara? Kuna vina gani kubwa Israel alipigana peke yake bila kusaidiwa na NATO??Rais wa Ukrine ni Mwi Isarel! Israel ata siku moja awawezi mwacha mwenzao azalilike- hapa Urusi inapigana na Ukraine+Israel na NATO allies na Israel ni mwana Vita Urusi inaweza poteza vita hivi(Israel ni invisible ila yupo na anawashughulikia haswa)
Kwani huko urusi hakuna wa Israel kama walivyo Ukraine?