Kama mpaka sasa umeshamzalisha mkeo watoto wawili wa kike, nenda tu kafunge uzazi!

Kufunga kizaz co kizur,je hao ulionao wakifariki wte utafanyaje
 
Sijakuelewa, kwahiyo huwapendi watoto wa kike au?
 
Sasa kama mtoto ni mtoto kwa nini nisiongeze? hata nikiwa na watoto wa kike kumi si ni sawa tu? usitutishe bwana, wacha fufyatue
Fyatua tuu kwanza elimu bure, wakilipa za makanikia afya nayo bure, zaaa bana, mm naingia ndani kutengeneza wa tano
 
Aisee mi nko tofauti kiɗogo naww watoto wakike wanamsaada mƙubwa sana ƙwa wazaz wao ƙuliko wa ƙiume unaowataƙa ww hivƴo nitaenɗelea kufyatua had idadi tuliopanga itimie
 
Acha ubaguzi wewe!!!
[emoji35] [emoji35] muangalie sura yke chachu kaa embe Ng'ong'o!!!!
 
Dume ni dume tu tusidanganyane hapa,Hata Muumba wa mbingh na ardhi hakumtumia mwanamke Katika kufanya kazi yake anawafahamu hawa viumbe vyake.Watoto wa kike wawili ni sawa na mtoto wa kiume mmoja kwangu Mimi sitorizika mpaka nipate wa kuingia kaburini kunizika
 
Lakini mwanamke Si anatoa only x ambayo ni female wakati dume anaweza toa either x or y ....sasa kosa la nani hapa ....?!?!
La mwanaume!!! Yeye ndo anadetermine mtoto awe wa kike au wa kiume... Mwanamke hana uamuzi huo
 
Pombe na matumiz ya madawa/chemikali,ni sabab namba moja inayoharib equilibrium ya jinsia,..na udhaifu wa miili pia,.we hujiuliz skuhiz vijana vijana weng wakipata baraka ya mtoto ni only female dominancy..hii YY chromosome ni very delicate,so haitak shida.sasa kemikali hua znaifanya ipateshida sana
 
Wabongo wengi ni mahodari wa kutoa ushauri sehemu ambayo hawajaombwa.

Vipi waliozaa watoto wawili wa kiume?

Angalia katika kutetea unachotaka, usinyanyapae bila kujua.
 
Ifahamike kua,hakuna kitu inauma kama baba anapomwaga mtoto wake wa kike aende officialy kwa mwanaume mwenzie,ilhali ameshagharamikia pesa nying,af mwanae huyo anaenda kuendeleza ukoo mwingne na jina anabadili,yaan hakuna kitu kinachefua kama hiki,hua hawa admit tuu lakin ukwel ndo huu.kubal kataa..ndomana wanaona bora midume tuu,got nothn to loose..dont get it twisted lakin
 
Kazo ya kulea watoto wa jinsia ya kike ni ipi...
 
Siku hizi unaweza kupanga kuzaa mtoto umpendae, wa kike au kiume; na kupanga ni kuchagua!
 
"HIVI ITAKUWAJE SIKU UKIJA KUGUNDUA WATOTO UNAOWALEA SIO WA KWAKO ""

NA UMESHAFUNGA KIZAZI TAYALI """
"HIVI ITAKUWAJE SIKU UKIJA KUGUNDUA WATOTO UNAOWALEA SIO WA KWAKO ""<br /><br />NA UMESHAFUNGA KIZAZI TAYALI """

TAYARI.

Ngoja Faiza akukute
 
Kwa hiyo huyo baba atataka kumuoa binti yake mwenyewe? Au atataka binti yake aolewe na mtoto wake wa kiume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…