Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fyatua tuu kwanza elimu bure, wakilipa za makanikia afya nayo bure, zaaa bana, mm naingia ndani kutengeneza wa tanoSasa kama mtoto ni mtoto kwa nini nisiongeze? hata nikiwa na watoto wa kike kumi si ni sawa tu? usitutishe bwana, wacha fufyatue
Umeonaeee kila mtu na maisha ykeMmmh wengine imani zetu haziruhusu kufunga kizazi
La mwanaume!!! Yeye ndo anadetermine mtoto awe wa kike au wa kiume... Mwanamke hana uamuzi huoLakini mwanamke Si anatoa only x ambayo ni female wakati dume anaweza toa either x or y ....sasa kosa la nani hapa ....?!?!
Ndio Lovely Sister [emoji7] [emoji7] [emoji7]Umeonaeee kila mtu na maisha yke
Wabongo wengi ni mahodari wa kutoa ushauri sehemu ambayo hawajaombwa.Jamani, asiwaambie mtu, kulea watoto wa kike ni kazi kubwa sana. Ni wito unaohitaji nguvu kubwa na akili nyingi.
Nimejaribu kuchek na baadhi ya marafiki na majamaa, nimeona wengi kati yao wamejaaliwa kuzaa mtoto wa kwanza wa kike na wa pili wa kike!
Kulingana na nadharia za probability of an event, chances are hata wakizaa tena kuna uwezekano wa 75% ya kupata mtoto wa tatu wa kike na only about 25% ya kupata mtoto wa kiume.
Ili kueupuka kuzeeka mapema kwa stress za malezi, fanya tu kama Obama... Fungeni kizazi mlee hao hao watoto mliokwisha wapata.
Mimi naamini watoto ni watoto na wote wana uwezo sawa tu wa kukusaidia huko uzeeni!
Kazo ya kulea watoto wa jinsia ya kike ni ipi...Jamani, asiwaambie mtu, kulea watoto wa kike ni kazi kubwa sana. Ni wito unaohitaji nguvu kubwa na akili nyingi.
Nimejaribu kuchek na baadhi ya marafiki na majamaa, nimeona wengi kati yao wamejaaliwa kuzaa mtoto wa kwanza wa kike na wa pili wa kike!
Kulingana na nadharia za probability of an event, chances are hata wakizaa tena kuna uwezekano wa 75% ya kupata mtoto wa tatu wa kike na only about 25% ya kupata mtoto wa kiume.
Ili kueupuka kuzeeka mapema kwa stress za malezi, fanya tu kama Obama... Fungeni kizazi mlee hao hao watoto mliokwisha wapata.
Mimi naamini watoto ni watoto na wote wana uwezo sawa tu wa kukusaidia huko uzeeni!
NANI? BASHITE?Hawa watoto wa kiume wanaopumuliwa wana faida ipi hasa zaidi ya kuleta mkosi kwa familia?
"HIVI ITAKUWAJE SIKU UKIJA KUGUNDUA WATOTO UNAOWALEA SIO WA KWAKO ""<br /><br />NA UMESHAFUNGA KIZAZI TAYALI """"HIVI ITAKUWAJE SIKU UKIJA KUGUNDUA WATOTO UNAOWALEA SIO WA KWAKO ""
NA UMESHAFUNGA KIZAZI TAYALI """
Kwa hiyo huyo baba atataka kumuoa binti yake mwenyewe? Au atataka binti yake aolewe na mtoto wake wa kiume?Ifahamike kua,hakuna kitu inauma kama baba anapomwaga mtoto wake wa kike aende officialy kwa mwanaume mwenzie,ilhali ameshagharamikia pesa nying,af mwanae huyo anaenda kuendeleza ukoo mwingne na jina anabadili,yaan hakuna kitu kinachefua kama hiki,hua hawa admit tuu lakin ukwel ndo huu.kubal kataa..ndomana wanaona bora midume tuu,got nothn to loose..dont get it twisted lakin