Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hunishindi mm mpk na muoneaga beki tatu wivu, lkn nashtuka nakumbuka kaka yanguuu[emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kaka yako ninavyokupenda hamna ajuae hahaha
Dada yangu una visa weweHunishindi mm mpk na muoneaga beki tatu wivu, lkn nashtuka nakumbuka kaka yanguuu[emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
My first and second born ni wa kiume nataka natamani mtoto wa kike, alafu pia na ukoo wetu tuna uhaba wa wanawake.Ninafahamu couple ilianza na baby girl akaja girl akaja boy and last was a boy again
My first and second born ni wa kiume nataka natamani mtoto wa kike, alafu pia na ukoo wetu tuna uhaba wa wanawake.Ninafahamu couple ilianza na baby girl akaja girl akaja boy and last was a boy again
Hahaa utani tu kakaa, lkn kwani uwongoDada yangu una visa wewe
mmmmh ukweli unaujua weweHahaa utani tu kakaa, lkn kwani uwongo
Kula Karanga na korosho mbichi na msifanye mpaka 14 days tangu mke wako aanze period.My first and second born ni wa kiume nataka natamani mtoto wa kike, alafu pia na ukoo wetu tuna uhaba wa wanawake.
Sio issue mkuu, mbona watu wanaadopt watoto"HIVI ITAKUWAJE SIKU UKIJA KUGUNDUA WATOTO UNAOWALEA SIO WA KWAKO ""
NA UMESHAFUNGA KIZAZI TAYALI """
Katanga ndiyo nini?Kula Katanga na korosho mbichi na msifanye mpaka 14 days tangu mke wako aanze period.
KarangaKatanga ndiyo nini?
Aisee ... Unazidi kunifanya niwe na hamu ya Kukuona Live- MubasharaNinafahamu couple ilianza na baby girl akaja girl akaja boy and last was a boy again
Tueleze hizo tabu za watoto wa kike unazoziona wewe
Yaani ungejua kua chances za mtoto wa kike kusaidia kwao ni rahisi kuliko mtoto wa kiume!!!! Watoto wa kiume ni rahisi sana kutelekeza wazazi wao!