Kama mpaka sasa umeshamzalisha mkeo watoto wawili wa kike, nenda tu kafunge uzazi!

Kama mpaka sasa umeshamzalisha mkeo watoto wawili wa kike, nenda tu kafunge uzazi!

Mimi wakifika 7 najenga uwanja wa netball, tennis natengeneza timu hatari...acha uvivu mkuu, Fanya kutimiza majukumu yako.
 
Watoto ni baraka toka kwa Mungu...Babu yako angekuwa mbinafsi kama ww leo hii usingekuwepo maana asingetaka kuwa na mtoto wa kike ambaye ni mama yako
 
Ninafahamu couple ilianza na baby girl akaja girl akaja boy and last was a boy again
My first and second born ni wa kiume nataka natamani mtoto wa kike, alafu pia na ukoo wetu tuna uhaba wa wanawake.
 
Ninafahamu couple ilianza na baby girl akaja girl akaja boy and last was a boy again
My first and second born ni wa kiume nataka natamani mtoto wa kike, alafu pia na ukoo wetu tuna uhaba wa wanawake.
 
Sasa nimewakuta kitandani mmekaa [emoji41] kwani mm nikipofu au nimtoto mdogo???
 
Tueleze hizo tabu za watoto wa kike unazoziona wewe

Huyu hajui kuwa kulea mtoto wa kiume hapa bongo ndo kazi sana, mtoto wa kike kutobolea inauma lakini bado atakuja kuolewa na atatobolewa tu, sasa usikie wakiume ndo anatobolewa unaweza ukafa kwa mshituko. Mtoto wa kiume ndo anatakiea kuchungwa kama benki wakati wa makuzi yake.
 
Hivi familia za kiafrika zitaondokana lini na hii dhana ya kimaskini ya kuwafanya watoto mitaji? Kwamba wa hivi atakumbuka kwao na wa vile hatakumbuka kwao? Tujifunze kuwekeza kwa ajili ya uzee wetu.
 
Yaani ungejua kua chances za mtoto wa kike kusaidia kwao ni rahisi kuliko mtoto wa kiume!!!! Watoto wa kiume ni rahisi sana kutelekeza wazazi wao!

Hii kauli nimeshaiskia mara nyingi sana, hebu naomba leo nyie waumini wake mnifahamishe. Ni sababu zipi hizo zinaleta uthibitisho wa uhalisia/ukweli wa kauli hii
 
Watoto wa kike wanapendezesha nyumba...... Nataka niwe na watoto wa kike mapacha halafu tufunge uzazi kama siyo kuchomoa kizazi
twins6.jpg
 
Back
Top Bottom