Kama mpaka sasa umeshamzalisha mkeo watoto wawili wa kike, nenda tu kafunge uzazi!

Kama mpaka sasa umeshamzalisha mkeo watoto wawili wa kike, nenda tu kafunge uzazi!

Sasa kama mtoto ni mtoto kwa nini nisiongeze? hata nikiwa na watoto wa kike kumi si ni sawa tu? usitutishe bwana, wacha fufyatue
Nilitaka kumuuliza the same angalau nimekuta ushaandika.
 
Mashoga, wavuta bangi,mateja,majambazi(wengi)wabakaji,walawiti,panya road nk hivi ni wa kike hao!!!!!!!
 
Kwa hiyo huyo baba atataka kumuoa binti yake mwenyewe? Au atataka binti yake aolewe na mtoto wake wa kiume?
Hawez oa mwanae na wala hafkirii hivyo ,uwe na akil ,nyie ndo mnaopataga sifur darasan,nmetoa tuu sabab yakwanin wanaume wanapendelea sana watoto wa jinsia ya kiume,huo ndo ukwel,hao wadada wenyew wanapendelea azae jinsia ya kiume.bishen sasa
 
Af cha ajab wadada pia wana sex preferenc,wadada wanapenda sana watoto wakiume kataa uskatae,utakuta mdada hana raha kabsaa,yan anatama azae wakiume kwanza af then baada ya hapo ndo wakike,kataeni,..nna ndugu yangu had anakufuru,ni wakike huyo na anawatoto wakike >2 pekeyake
 
Ninavyoipenda mitoto ya kikee, aisee hata yaje kumi poa tu
 
Wavuta bangimateja,majambazi(wengi)wabakaji,walawiti,panya road nk hivi ni wa kike hao!!!!!!!
Ndo mwanaume kaumbiwa hivo .....mitaa ya kama Guadalajara uko Mexico ni bonge la title tena ndo wanao push ndinga Kali ......ko kawaida mkuu
 
Siku hizi kulea watoto wa kiume imekuwa kazi. .
Mastylish wamezidi kuwa wengi Sana, wengine ukimuona utasema yes dume na wameoa ila wanapumuliwa, wengine wanajilegeza kabsa eti wanajifanya "this is how I was born" dadeq. .
Mungu ninusulie watoto wangu wa kiume
 
Yaani hakuna malezi magumu na ya kuwa nayo makini sasa hivi kama watoto wa kiume.
 
Yaani hakuna malezi magumu na ya kuwa nayo makini sasa hivi kama watoto wa kiume.
Inaumiza sana. . Michezo michafu imekithiri dear, yani tunahofia waume zetu na watoto wetu

Kuna ndugu yangu alikuwa anafanyiwa huko na yeye anakuja kumfanya mdogo wake wa primary daaah
 
Inaumiza sana. . Michezo michafu imekithiri dear, yani tunahofia waume zetu na watoto wetu

Kuna ndugu yangu alikuwa anafanyiwa huko na yeye anakuja kumfanya mdogo wake wa primary daaah
Duuuh!! Soo sad.
 
Back
Top Bottom