Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Sisi wengine tuna bandika tu no matter ni pisi kali au mbovuSiku zote, kitu kizuri huvutia nje; hata ardhi nzuri yenye rutuba huvutia wawekezaji.
Sasa wewe upo kwenye mahusiano miaka na miaka, na hujawahi kusikia mwenzako anatongozwa huko nje.
Hii inamaanisha, uliyenaye si pisi kali na pia sio mtanashati.
Inabidi kukesha baa tu ili muda uende ndio urudi nyumbani usiku wa gizaSisi wengine tuna bandika tu no matter ni pisi kali au mbovu
Vipi huwa unatongozwa?Ni yuleyule Equation X wa JF
Yaani nyani hachagui ndizi😃😃 ili mradi ni utelezii,Inabidi kukesha baa tu ili muda uende ndio urudi nyumbani usiku wa giza
Kuna wengine mpaka wazime taa ili kutafuta hisiaYaani nyani hachagui ndizi😃😃 ili mradi ni utelezii,
Siku zote, kitu kizuri huvutia nje; hata ardhi nzuri yenye rutuba huvutia wawekezaji.
Sasa wewe upo kwenye mahusiano miaka na miaka, na hujawahi kusikia mwenzako anatongozwa huko nje.
Hii inamaanisha, uliyenaye si pisi kali na pia sio mtanashati.
Sasa kwa nn uwe na mwenza wa aina hii? Si utafute anaekuvutiaKuna wengine mpaka wazime taa ili kutafuta hisia
Anaweza kia pisi kali na wala asitongozwe mara kwa mara.Kutongozwa tongozwa inafuatana na wewe ulivyojiweka.Japo mwanamke kutongozwa ni kawaida
Anayetongozwa anajulikana tu, ukimtazama kwa machounajuaje kama anatongozwa au la? Anakusimulia au anatongozwa mbele yako?
Wapo waliokosea wakajikuta tayari meli imezama
Huwa wanapenda kweli, kwa sababu kwake anakuwa kama ameokota dhahabuPisi mbovu mi ndio napenda maana ni za wachache,pia km huwa chache sana.
Wapo ambao hawatongozwi kabisa, hata ukipishana naye huwezi kugeuza shingoKutongozwa tongozwa inafuatana na wewe ulivyojiweka.Japo mwanamke kutongozwa ni kawaida
Akiwa mbovu, atakuwa na ushawishi gani?Anaweza kia pisi kali na wala asitongozwe mara kwa mara.
Na anaweza kua mbovu ila akawa anatongozwa kila leo.