Kama mpenzi wako hatongozwi nje, huyo siyo pisi kali na siyo mtanashati

Kama mpenzi wako hatongozwi nje, huyo siyo pisi kali na siyo mtanashati

Kwan uko na miguu gani ?
Mana naona uko huu mtetezi wa miguu za watu.
#😛
Sio utetezi tatizo mnakosoa uumbaji wa mungu kungekuw na machagua ya miguu kabla ya uumbaji hapo sawa kwa lawama bruuuu
 
Kutongozwa kwa mwanamke ni kutokana na anavyojiweka, anaweza kuwa pisi kali ila asitongozwe hovyohovyo na anaweza kuwa wa kawaida ila akatongozwa sana.

Kuna pisi kuzifuata tu unajiuliza mara mbilimbili, afu kuna wale waliojiweka sokoni hawa huwa wanatongozwa na kila mchekea matako.

Mwanamke asiwe cheap, standards ni muhimu sana.
 
Siku zote, kitu kizuri huvutia nje; hata ardhi nzuri yenye rutuba huvutia wawekezaji.

Sasa wewe upo kwenye mahusiano miaka na miaka, na hujawahi kusikia mwenzako anatongozwa huko nje.

Hii inamaanisha, uliyenaye si pisi kali na pia sio mtanashati.​
Lakini kumbuka hata Malaya anatongozwa wakati wa ku bargain huduma
 
Akiwa mbovu, atakuwa na ushawishi gani?
Kitu ambacho kuwa ninaishangaa sana dunia, hata yule mwanamke ambaye unaona kabisa haiwezekani kufuatwa (kutokana na mtazamo wako) utakuta ana familia ya watoto na mume, hapo ndo utajua duniani kila mtu na mtuwe.

Pisi yako kali kuna wana sio standard yao kabisa na hata kutongoza hawawezi jaribu, dunia ni pana sana.
 

Attachments

  • 20221223_170505.jpg
    20221223_170505.jpg
    32.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom