ππ ila dada unaonekana una mguu Kama nyundo bonge la sigino vidole vibayaaπ€£π€£π€£ kama yako
Sio utetezi tatizo mnakosoa uumbaji wa mungu kungekuw na machagua ya miguu kabla ya uumbaji hapo sawa kwa lawama bruuuuKwan uko na miguu gani ?
Mana naona uko huu mtetezi wa miguu za watu.
#π
Eeeeh hayaSio utetezi tatizo mnakosoa uumbaji wa mungu kungekuw na machagua ya miguu kabla ya uumbaji hapo sawa kwa lawama bruuuu
Upo sahii umelenga mulemuleπ€£π€£ππ ila dada unaonekana una mguu Kama nyundo bonge la sigino vidole vibayaa
Eeeh sa si mnyama wa porini ππUpo sahii umelenga mulemuleπ€£π€£
Lakini kumbuka hata Malaya anatongozwa wakati wa ku bargain hudumaSiku zote, kitu kizuri huvutia nje; hata ardhi nzuri yenye rutuba huvutia wawekezaji.
Sasa wewe upo kwenye mahusiano miaka na miaka, na hujawahi kusikia mwenzako anatongozwa huko nje.
Hii inamaanisha, uliyenaye si pisi kali na pia sio mtanashati.
π€£π€£π€£π€£π kama weweEeeh sa si mnyama wa porini ππ
Kitu ambacho kuwa ninaishangaa sana dunia, hata yule mwanamke ambaye unaona kabisa haiwezekani kufuatwa (kutokana na mtazamo wako) utakuta ana familia ya watoto na mume, hapo ndo utajua duniani kila mtu na mtuwe.Akiwa mbovu, atakuwa na ushawishi gani?
Miguu PhD hii weweπ€£π€£π€£π€£π kama wewe
Iweke hapa ionekane sio kujisifu nyuma ya keyboardMiguu PhD hii wewe
kwato ππ€£View attachment 2455869
Ngoko za Tariq Salamander
Nyoo hata aibu huoni.kwato ππ€£
Nyoo hata aibu huoni.
Weka yako Sasa tuone mipilipili Hyπ
Aaah wewe labda Dela Chapelle xxy femaleusiishi kwa kukariri miguu ya kike hiyo