Kama mradi hauna ufadhili basi ni mkopo. Je, upinzani watakosa mikopo na ufadhili?

Kama mradi hauna ufadhili basi ni mkopo. Je, upinzani watakosa mikopo na ufadhili?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Miradi mingi ya maendeleo ya Tanzania kwa miaka mingi inatokana na mikopo pamoja na ufadhili. Kinachopewa ufadhili au mkopo siyo chama Cha siasa bali ni nchi, kwa muktadha huo hakuna chama Cha siasa ambacho hakina uwezo wakuongoza nchi.

Katika kuongoza nchi kinachotakiwa nikuimarisha uaminifu kwa kufanya Mambo yafuatayo:

1. Kuwa na utawala wa sheria
2. Kuweka misingi ya uwazi katika fedha za umma,ufadhili na mikopo ili kuepusha ubadhirifu.
3. Kuheshimu haki za binadamu
4. Kufanya miradi ambayo inawaweka wananchi mbele
5. Kuimarisha na kuziba mianya ya upotevu wa fedha za umma.
6. Demokrasia

Kuelekea uchaguzi 2020 ni vyema tukajiwekea mazingira mazuri ya haki, hii itakuza biashara, mitaji, itaongeza kuaminiwa na hivyo kukuza uwezo wakujitegemea.
 
Back
Top Bottom