GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani kabisa Dr Matola PhD awe Boss wangu Himayani na amesfaafu ( na najua aliharibu mno kuanzia mfano mwaka 2005, kisha Mimi GENTAMYCINE nimekalia Kiti changu ( alichokikalia Yeye ) kisha niwe namsikiliza Yeye kwa kila Kitu hata kama ni Pumba na mambo yasiyofaa Himayani.
Nitakachokitoa a ni Kumwambia tu kuwa Yeye alikuwa Kiongozi Himayani na Mimi sikumuingilia Kimaamuzi hivyo nae pia Mimi sasa ndiyo Top wa Himaya sitaki awashwewashwe Kunishauri na Kunipangia bali atulie tu ale Pensheni yake.