Kama mshindo wa kwanza ungekuwa unachukua saa nzima kukamilika wanaume si tungekuwa tanakufa kwa utamu jamani!

Kama mshindo wa kwanza ungekuwa unachukua saa nzima kukamilika wanaume si tungekuwa tanakufa kwa utamu jamani!

Mkuu una shida mahali.

Mimi hata nikipiga show kila siku, haiwezi kuwa sababu ya kupunguza uwezo wangu wa kuchakata mbususu kwa muda mrefu.

Wewe kama uwezo wako unategemea kutokupiga nyeto au show kwa muda mrefu hebu jitathmini upya, ikibidi umeuone daktari akusaidie kabla tatizo halijawa kubwa.

Zingatia ushauri wangu mara moja. The earlier the better.
Hujamwelewa acha kukurupuka.
 
Afu saa zingine la pili linachelewa kuliko la tatu. Hadi Ute wake wa asili unakauka, tunaanza kuongezea mate
 
How do you manage that? Can you please elaborate to me how do you always manage to last longer
Hapa itabidi kuwe na somo la jando kiumeni pembeni, hili si somo la hadhara hii nzima kwa waungwana tunaojitambua.

Sio suala la ku last saa moja tu, pia ni suala la unafanya nini katika hilo saa moja.

Kwanza mpaka hapa naona kama nishavunja miiko ya waungwana kwa kuelezea nilivyo "Stamina Daddy".
 
Mkuu mbona Sina tatizo lolote nilichosema Ni kweli kbsa.Mtu anayeshiriki tendo kila wakati huwa hahisi Raha Kama mtu ambaye hushiriki tendo baada ya muda mrefu.

Ebu jaribu kufanya hivyo uone tofauti.
Ulitaka uwe unafurahia tendo ni kubadilisha mademu
 
Tuachane na hilo lakwanza wengne tunaenda had nusu saa+ lakwanza bado hio tuachane nayo kuna hii kwenda round ya pili had bidada anasema hatorudia mpaka nifike lapili anakuwa kachakaa kwa hio siku 😀😀😀
 
Mkuu mwaga madini Hapa sore tufaidi, nadhani wengi Wana tatizo la kuwahi kufika kileleni haswa kwenye round ya kwanza, mtu dakika 5 nyingi wazungu Hawa Hapa.
Hapa itabidi kuwe na somo la jando kiumeni pembeni, hili si somo la hadhara hii nzima kwa waungwana tunaojitambua.

Sio suala la ku last saa moja tu, pia ni suala la unafanya nini katika hilo saa moja.

Kwanza mpaka hapa naona kama nishavunja miiko ya waungwana kwa kuelezea nilivyo "Stamina Daddy".
 
Mkuu mwaga madini Hapa sore tufaidi, nadhani wengi Wana tatizo la kuwahi kufika kileleni haswa kwenye round ya kwanza, mtu dakika 5 nyingi wazungu Hawa Hapa.
Huyo anakaa marekani yupo anakula vizuri analala pazuri Hana stress za Kodi Wala Ada za watoto so hao wanaweza kufanya mwili kuwa active kwa Mambo Kama hayo usije kuiga lifestyles za watu wakati you can't afford to get nutrition

Kiranga atakudanganya tu

Kula vizuri

Regular exercise
Stress free
Deal health

Hapo utafanya Sana ngono
 
Back
Top Bottom