Kama msichana primary anajua matusi ya nguoni unategemea aolewe na atulie kweli?

Kama msichana primary anajua matusi ya nguoni unategemea aolewe na atulie kweli?

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Toka nitembelee na kuishi mikoa ya mwambao wa bahari hasa pwani, lindi na Dar.. Nimekutana na tabia mbaya sana kwa kweli, na hili hata sio la kuwalaumu watoto.

Ndugu zangu sijui kwanini hata sijawahi kuona watu wanalizungumzia hili swala, sijui ndo kwa sababu sisi watz we don't care ama nini?

Ni kwamba miko hiyo kuna watu walioharibika sana kisaikolojia, yaani wanawake wanaona sawa na ujanja kuwa wamejawa na matusi mdomoni. Yaani mwanamke pasipo sema neno la kutusi katika mazungumzo yake, wengine wanashangaa!

Nilipofikia kipindi niko lindi nilikutana na Kaya moja hivi pale kulikuwa na mwanamke wa makamo kuanzia 35+ alikuwa na mtoto sijui ni wake ama?

Alikuwa anatukana dogo wa miaka 2 matusi mabaya ambayo mtu akikaa Kuya sikiliza kwa mwezi tu anaweza kuchanganyikiwa sasa kwa kushangaza yule dogo, akifika kipindi akawa anamjibu mama yake huyo..

Itaskia wewe fulani kimbiza kibolo chako hapa nikoheshe, dogo naye anajibu sitaki kmmk alafu kinajikimbiza basi na yeye anaanza kikimbiza akikipata anakizibua makofi kinalia kinaoga na matusi juu.. Majirani hapo wanasikia na kila mtu na habari zake... Daah

Haya kuna siku tena niko napata msosi jamaa kafika pale tunapata msosi, jamaa kumbe wameshazoea kutaniana na mama ntilie si wakaanza kutaniana bwana, sasa sijui ikawaje nimesahau ila yule mama ntilie kafika mahala akasema "yaani ningekuwa mwanaume wewe ningekufir* hapo kuna wadau wanakula, msosi na hata hawashangai"

Sasa leo hapa nimetoka zangu kwenda kwa mwanangu kumtembelea sasa kuna majirani pale watoto wa primary wanaonge mambo ya wakubwa live bila chenga... Wanatukana matusi makubwa na kwa sauti na vyumba jirani kuna watu wazimama ndani.

Kusalimia havisalimii sasa unakaa kujiuliza ndo utandawazi unako tupeleka ama?

Aisee ila ukiachana na utandawazi pia nimegundua watu wa mikoa hii wanatendency mbaya tu kama utamaduni. Huwezi kumtukana matusi ya nguoni mtoto mdogo akikuwa lazima awe kile unamfeed kwa maneno.

Alafu eti mtanzania huyo huyo anataka nchi iwe na amani. Eti katiba mpya what the hell? Hebu tuache ujinga wa kupenda vitu tu sivyo vitaka wenyewe.
 
Back
Top Bottom