kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Nafikiri mambo ya upenzi yaishie kwenye ngazi ya uongozi tu, kwenye udhamini na ufadhili kusiwepo kuangalia nani ana kadi gani. Kama wadhamini wataanza kuchunguzwa, vilabu vitapoteza udhamini mwingi tu. Hersi wangemtoa kwenye kamati zao ila wamuache awepo kibiashara tu kama mdhamini kupitia GSMKama wanayanga wana akili za jinsi hii,basi iko siku nayo si mbali GSM anatimuliwa.Maana naye ni Simba.
Metacha na Bakari ni SimbaSiyo GSM hata baadhi ya wachezaji wao mioyo yao iko simba kama yule goalkeeper na defender mmoja...😁
Hata washabiki wa upotolo wanatamani kuhamia Simba ila tumewakataa kwani hatupendi vuruguWachezaji wa uto wote wanatamani kwenda Simba hata wakawe ball boys bahati mbaya kwao hakuna nafasi, hata mashabiki wao nao wanaona aibu tu lakini kimoyomoyo ni mashabiki wa mnyama.