Kachengana na gari la mshahara.Jana Wydad Casablanca wamechukua ndoo ya Klabu bingwa Afrika baada ya kumpiga Alahly 2:0.Km Msuva angevuta subira kidogo tu leo ingekuwa storry ingine kabisa!Angekuwa Mtanzania wa pili baada ya Samata kuchukua CAF CHAMPIONS LEAGUE,mbona tungetamba!.Lakini ndo ivo tena km mlivyosikia. Very sorry for him. Ndio maana kuna msemo mvumilivu hula mbivu.
😅😅😅Huenda yeye ndo alikua anagundu
Wangekuwa wabaguzi wasingemsajili....kutakuwa na tatizo lazimaUngejua mateso anayofqnyiwa wala usingesema hayo.
Chakula cha masimango hakina ladha.
Waarabu wabaguzi mno.
Kwani amehamia clabu ipi!?Jana Wydad Casablanca wamechukua ndoo ya Klabu bingwa Afrika baada ya kumpiga Alahly 2:0.
Kama Msuva angevuta subira kidogo tu leo ingekuwa storry ingine kabisa.
Angekuwa Mtanzania wa pili baada ya Samata kuchukua CAF CHAMPIONS LEAGUE, mbona tungetamba!.
Lakini ndo hivyo tena kama mlivyosikia. Very sorry for him. Ndio maana kuna msemo mvumilivu hula mbivu.
Ndo maana ya mvumilivu hula mbivu. Msuva kacheza Moroco kwa takribani misimu 4.Sizani km chanzo cha kuondoka Wydad ni ubaguzi.Ungejua mateso anayofanyiwa wala usingesema hayo.
Chakula cha masimango hakina ladha.
Waarabu wabaguzi mno.
Ungejua mateso anayofanyiwa wala usingesema hayo.
Chakula cha masimango hakina ladha.
Waarabu wabaguzi mno.